S SubiriJibu JF-Expert Member Joined Jun 26, 2009 Posts 1,805 Reaction score 1,876 Sep 8, 2021 #1 Utalii siyo suala la muungano na Rais Samia hana mamlaka na utalii kwa Zanzibar. Yaani kiutalii Zanzibar ni nchi tofauti na Tanzania. Hivyo Rais Hussein Mwinyi afanye ziara yake kivyake Unguja na Pemba aje na sinema yake tofauti na hii ya Samia.
Utalii siyo suala la muungano na Rais Samia hana mamlaka na utalii kwa Zanzibar. Yaani kiutalii Zanzibar ni nchi tofauti na Tanzania. Hivyo Rais Hussein Mwinyi afanye ziara yake kivyake Unguja na Pemba aje na sinema yake tofauti na hii ya Samia.
mdudu JF-Expert Member Joined Feb 6, 2014 Posts 7,013 Reaction score 10,000 Sep 8, 2021 #2 Mbona na yeye anatangaza uchumi wa buluu.
Erythrocyte JF-Expert Member Joined Nov 6, 2012 Posts 128,308 Reaction score 245,426 Sep 8, 2021 #3 Kwi Kwi Kwi
S Shehullohi JF-Expert Member Joined Jul 21, 2020 Posts 3,753 Reaction score 3,685 Sep 8, 2021 #4 Nilijiuliza baada ya Mh Rais SSH kuondoka Pemba kesho yake Mh Rais HAM akatia timu Pemba kwenye ziara. Isije kuwa ni kufuta nyayo!!
Nilijiuliza baada ya Mh Rais SSH kuondoka Pemba kesho yake Mh Rais HAM akatia timu Pemba kwenye ziara. Isije kuwa ni kufuta nyayo!!