Tulifikiri waziri mkuu huwa ni mtu wa busara sana mpaka watu walianza kumtabilia urais kisa tu kufoka foka enzi za zile za giza kumbe ni hewa tu.
Badala ya kusisitza elimy ya juu iwe bora unasisitiza VETA kwa kusema na kukiri kwamba wenye degree, masters au PhD eti wamepoteza muda.
Hakika waziri mkuu Tanzania hatuna
Badala ya kusisitza elimy ya juu iwe bora unasisitiza VETA kwa kusema na kukiri kwamba wenye degree, masters au PhD eti wamepoteza muda.
Hakika waziri mkuu Tanzania hatuna