Suala la VETA limemshushia hadhi Waziri Mkuu Majaliwa

Suala la VETA limemshushia hadhi Waziri Mkuu Majaliwa

CCM hawana aibu, Kassim hili boshen alikolitoa kwake anaona poa tu kama CPA Makalla anavyochangisha pesa za matibabu ya manesi wa Chadema lile boshen la Mpox na Ebola kwake ni poa tu.
 
Wewe ndio umemshusha hadhi?
Kwa hiyo amenyang'anywa ulinzi,
Yale mgari 19 ya msafara kapewa nani
Au unaota ndoto za saa nne asubuhi.
Tafuteni ndoto za saa nane na saa tisa usiku ndio zinakua na maana
 
Wewe ndio umemshusha hadhi?
Kwa hiyo amenyang'anywa ulinzi,
Yale mgari 19 ya msafara kapewa nani
Au unaota ndoto za saa nne asubuhi.
Tafuteni ndoto za saa nane na saa tisa usiku ndio zinakua na maana
Mwajabu kamuandalie mmeo futari
Umeandika kama darasa la 3C
 
CCM hawana aibu, Kassim hili boshen alikolitoa kwake anaona poa tu kama CPA Makalla anavyochangisha pesa za matibabu ya manesi wa Chadema lile boshen la Mpox na Ebola kwake ni poa tu.
1743359993455.png
 
Wewe ndo kilaza upo Karne ya 18,hizo KAZI now ni professional na watu wanazifanya kisomi Zaid ya zamani ilivyokua anaenda mtu aliyefeli.
Tembelea Veta ukaone utitiri wa wasomi wakienda kuchukua ujuzi wajikomboe na changamoto za ajira.
Nina wengi nawajua na sasa wanafanya vyema sana tena sanaaa na sidhani kama wanakumbuka hata kutembeza bahasha.
In short sana jifunze life na ondoa mtazamo wa eti aliyefeli ndo atapaswa kwenda Veta.

Uko sawa kabisa. China hapo ndipo siri yake ya maendeleo ilipo. Vocational training. Wenyewe wanaposema skilled labour hawamaanishi degree holders. Bali ni mtu mwenye ujuzi na stadi za kazi zilizo boreshwa
 
Back
Top Bottom