Hizo kazi huhitaji kisoma. Ni ufundi ru wa training ya wiki moja. Hapa mtaani zinafanywa na left oversWe kilaza mpaka Leo hujui kutofautisha THEORY NA PRACTICAL.Huko vyuoni Kuna jipya zaid ya theory tupu?
VETA ni practical ambayo inahitajika sana kwa jamii na watu wanatoboa sanaaa,Sasa we zungusha bahasha maofisini kisha kwenye interview uambie utuonyeshe spanner number 17 uanze kutoa macho.
In short kachelewa sana kusema mpaka ameona asimung'unye maneno kama wengine.
Huezi kuwaambia watu wajiajiri hasa kwa fani zao walizotoka nazo chuo wakati theory imelala zaid na hakuna sehemu wanapata experience.
Zaidi ataishia kuuza viatu na simu tu akiamini ndo kajiajiri wakati service na technical ndo zenye pesa na zinahitajika zaid ndani ya jamii kuanzia decor, painting,fundi gari,umeme,ujenzi,upishi,mapambo,ushonaji,majokofu,usafir,fummingation, furniture n.i
Vijana wanapiga hela sanaaaa kwa hizo service na mpaka wengine wanatajirika.
Stuka jamaaa,Dunia ishaanza kuchuja uchafu ebooooo
Wewe ndo kilaza upo Karne ya 18,hizo KAZI now ni professional na watu wanazifanya kisomi Zaid ya zamani ilivyokua anaenda mtu aliyefeli.Hizo kazi huhitaji kisoma. Ni ufundi ru wa training ya wiki moja. Hapa mtaani zinafanywa na left overs yaani vilaza waliofeli darasa la saba
Na wewe basi kajifunze hiyo wiki moja!! Degree ndo nini? Watu wanapiga hela na driving tu ya veta! Ndo wanaoendesha wakubwa wewe na degree yako unapata 700k yeye na veta yake anakuja 3M+ endelea kukariri maisha, mimi ni Technician nilikataa kwenda advance nikaenda pale MUST diploma, nikamaliza nikaenda veta kuongezea ujuzi! Baada ya kumaliza nilipoenda kwenye usaili niliyakuta ya veta kama yote( practical) na nikafaulu saiv nipo ndani ya serikali mshahara wangu ukichanganya na kazi zangu za ufundi huwezi kunifikia wewe na degree yako ya IT!Hizo kazi huhitaji kisoma. Ni ufundi ru wa training ya wiki moja. Hapa mtaani zinafanywa na left overs yaani vilaza waliofeli darasa la saba
Upo vizuri Sana mkuuNa wewe basi kajifunze hiyo wiki moja!! Degree ndo nini? Watu wanapiga hela na driving tu ya veta! Ndo wanaoendesha wakubwa wewe na degree yako unapata 700k yeye na veta yake anakuja 3M+ endelea kukariri maisha, mimi ni Technician nilikataa kwenda advance nikaenda pale MUST diploma, nikamaliza nikaenda veta kuongezea ujuzi! Baada ya kumaliza nilipoenda kwenye usaili niliyakuta ya veta kama yote( practical) na nikafaulu saiv nipo ndani ya serikali mshahara wangu ukichanganya na kazi zangu za ufundi huwezi kunifikia wewe na degree yako ya IT!
Pale kilaza anapo mcheka kilaza mwenzake. Ni ufundi ru wa training ya wiki moja.
Otherwise serikali iseme hakuna kustruggle tena kufaulu kwa div one mana serikali haiwataki wenye akili inataka mazuzu tu kama weweNa wewe basi kajifunze hiyo wiki moja!! Degree ndo nini? Watu wanapiga hela na driving tu ya veta! Ndo wanaoendesha wakubwa wewe na degree yako unapata 700k yeye na veta yake anakuja 3M+ endelea kukariri maisha, mimi ni Technician nilikataa kwenda advance nikaenda pale MUST diploma, nikamaliza nikaenda veta kuongezea ujuzi! Baada ya kumaliza nilipoenda kwenye usaili niliyakuta ya veta kama yote( practical) na nikafaulu saiv nipo ndani ya serikali mshahara wangu ukichanganya na kazi zangu za ufundi huwezi kunifikia wewe na degree yako ya IT!
Hakuna ambaye amesoma VETA anaweza kushindana duniani. Labda atapata hela za kunywa bia na kujenga kanyumba tu tena ka udongo na baiskeli basiWewe ndo kilaza upo Karne ya 18,hizo KAZI now ni professional na watu wanazifanya kisomi Zaid ya zamani ilivyokua anaenda mtu aliyefeli.
Tembelea Veta ukaone utitiri wa wasomi wakienda kuchukua ujuzi wajikomboe na changamoto za ajira.
Nina wengi nawajua na sasa wanafanya vyema sana tena sanaaa na sidhani kama wanakumbuka hata kutembeza bahasha.
In short sana jifunze life na ondoa mtazamo wa eti aliyefeli ndo atapaswa kwenda Veta.
Nikikupa vyeti vyangu vya form four wewe unaaweza kukimbia mimi nimemaliza diploma yangu, nimefundisha kwa kufuatwa nyumbani na wenye vituo vya tuition kufundisha physics na hesabu! Nimefundisha mpaka form 6! Usifikiri kwenda chuo kikuu ndo kuwa na akili mzee! Ndo maana mnalia lia ! Hamna ajira kuleni degree zenu hizo sasa! Mimi nimesomeshwa na serikali mpaka namaliza diploma yangu kwa ufaulu wangu mzuri! Hata nilipokataa kwenda advance wengi walinishangaa sana! Hivyo usikariri kuwa wote waliopo veta ni wajinga!Otherwise serikali iseme hakuna kustruggle tena kufaulu kwa div one mana serikali haiwataki wenye akili inataka mazuzu tu kama wewe
Exactly, my question.Kwani amewahi kuwa na hadhi??
Pale wanafunzi wa VETA mnapojiona na kujipa matumaini kuwa mmesoma sana na mnayajua mliyoyasomea halafu mkija kuambiwa mfanye DESIGN ya hicho mnachokifanya kwa vitengo mnaanza kumbwela mbwela sababu mnasahau kuwa nyie ni WATENDAJI tu.We kilaza mpaka Leo hujui kutofautisha THEORY NA PRACTICAL.Huko vyuoni Kuna jipya zaid ya theory tupu?
VETA ni practical ambayo inahitajika sana kwa jamii na watu wanatoboa sanaaa,Sasa we zungusha bahasha maofisini kisha kwenye interview uambie utuonyeshe spanner number 17 uanze kutoa macho.
In short kachelewa sana kusema mpaka ameona asimung'unye maneno kama wengine.
Huezi kuwaambia watu wajiajiri hasa kwa fani zao walizotoka nazo chuo wakati theory imelala zaid na hakuna sehemu wanapata experience.
Zaidi ataishia kuuza viatu na simu tu akiamini ndo kajiajiri wakati service na technical ndo zenye pesa na zinahitajika zaid ndani ya jamii kuanzia decor, painting,fundi gari,umeme,ujenzi,upishi,mapambo,ushonaji,majokofu,usafir,fummingation, furniture n.i
Vijana wanapiga hela sanaaaa kwa hizo service na mpaka wengine wanatajirika.
Stuka jamaaa,Dunia ishaanza kuchuja uchafu ebooooo
Mmh! Serikali imekusomesha kuanzia chekechea?Mimi nimesomeshwa na serikali mpaka namaliza diploma yangu kwa ufaulu
Kweli kwa fikra hizi bado utoto unawasumbua,na Majaliwa kamwe hamtomuelewa.Pale wanafunzi wa VETA mnapojiona na kujipa matumaini kuwa mmesoma sana na mnayajua mliyoyasomea halafu mkija kuambiwa mfanye DESIGN ya hicho mnachokifanya kwa vitengo mnaanza kumbwela mbwela sababu mnasahau kuwa nyie ni WATENDAJI tu.
Kuweni na adabu MAFUNDI majaliwa asiwapumbuzaze mkashindwa kujiendeleza.
Kwanza naomba nikupe pole kijana. Jitahidi uongeze elimu yako kisha ndipo uje uanze kubishana na mimi hapa jukwaani.Kweli kwa fikra hizi bado utoto unawasumbua,na Majaliwa kamwe hamtomuelewa.
Kuna design gani unayofanya wewe usiyejua hata nn unacho design?
Akili yako bado imekaa ki-theory na utoto mwingi,bila shaka ni mtoto wa buku bee wewee.