Suala la VETA limemshushia hadhi Waziri Mkuu Majaliwa

CCM hawana aibu, Kassim hili boshen alikolitoa kwake anaona poa tu kama CPA Makalla anavyochangisha pesa za matibabu ya manesi wa Chadema lile boshen la Mpox na Ebola kwake ni poa tu.
 
Wewe ndio umemshusha hadhi?
Kwa hiyo amenyang'anywa ulinzi,
Yale mgari 19 ya msafara kapewa nani
Au unaota ndoto za saa nne asubuhi.
Tafuteni ndoto za saa nane na saa tisa usiku ndio zinakua na maana
 
Wewe ndio umemshusha hadhi?
Kwa hiyo amenyang'anywa ulinzi,
Yale mgari 19 ya msafara kapewa nani
Au unaota ndoto za saa nne asubuhi.
Tafuteni ndoto za saa nane na saa tisa usiku ndio zinakua na maana
Mwajabu kamuandalie mmeo futari
Umeandika kama darasa la 3C
 

Uko sawa kabisa. China hapo ndipo siri yake ya maendeleo ilipo. Vocational training. Wenyewe wanaposema skilled labour hawamaanishi degree holders. Bali ni mtu mwenye ujuzi na stadi za kazi zilizo boreshwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…