Beatrice Kamugisha
JF-Expert Member
- May 18, 2019
- 762
- 6,984
1. Vyombo vya Habari ni Mali ya serikali au Mali ya wananchi na Umma Kwa ujumla?
2. Bunge kurusha matangazo live linategemea kibali cha Serikali au Bunge linapaswa kujiamulia lenyewe?
3. Mahakama kuruhusu vyombo vya habari kurusha mwendo wa kesi live inahitaji kuomba kibali cha Serikali au Mahakama inapaswa kujiamulia yenyewe?
4. Muhimili usio rasmi wa tasnia ya habari unapaswa kuomba kibali Mahakamani, Bungeni au Serikali au unapaswa kuwa huru kufanya kazi yake kwenye mihimili yote bila kupangiwa?
5. Kwanini Waziri na watendaji wa Serikali waeleze lini Bunge liwe live, Kwa maeneo Gani au kwanini Mahakamani taarifa ziwe live? Waziri anaweza kuliekeza Bunge kazi ya kufanya?