Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
Akili za Mwafrika eti zinawaza uchaguzi tu?Mbona tangu mda mrefu sana mkuu, Africa hatuna akili..
Na wafanya biashara hao ni ccm.Suala siyo Wachina bali Wafanyabiashara na Watz wenzetu.
Unauliza swali lenye jibu tayari? Hivi kuna mtu anayejua kuwa una akili timamu, halafu akuuzie bidhaa feki?Kila Mtanzania ni shahidi.
Mpaka vifaa muhimu vya umeme, maji na electronics bandia mchina kwa makusudi kabisa kutujazia Kariakoo kisha kusambazwa Tanzania yote.
Nguo na mavazi nako ni hatari tupu, viatu na samani za ndani pia hajatuacha salama.
Ni TBS au serikali kwa ujumla imeridhia?
Kwanini Wachina watufanyie hivi?
Unauziwa bidhaa sh. 10000, ndani ya miezi 6 unapaswa ununue mara 2-3.
Vitu imara na vyenye ubora unaokubalika kimataifa upatikani wake mgumu.
Nilikwenda kufanya shopping ya vifaa vya umeme. Naambiwa kuna fake na original, Mimi nahitaji vipi?
Mafundi wenu wa magari, umeme, nyumba n.k wanawanunulia vitu fake kwa bei ya origin ili wabanie pesa.
• Viongozi wanawaza kujaza matombo yao kila saa, na kuficha dollars nje za nchi. Kwa style hii nchi kuendelea ni vigumu sana.Akili za Mwafrika eti zinawaza uchaguzi tu?
Inasikitisha..Kila Mtanzania ni shahidi.
Mpaka vifaa muhimu vya umeme, maji na electronics bandia mchina kwa makusudi kabisa kutujazia Kariakoo kisha kusambazwa Tanzania yote.
Nguo na mavazi nako ni hatari tupu, viatu na samani za ndani pia hajatuacha salama.
Ni TBS au serikali kwa ujumla imeridhia?
Kwanini Wachina watufanyie hivi?
Unauziwa bidhaa sh. 10000, ndani ya miezi 6 unapaswa ununue mara 2-3.
Vitu imara na vyenye ubora unaokubalika kimataifa upatikani wake mgumu.
Nilikwenda kufanya shopping ya vifaa vya umeme. Naambiwa kuna fake na original, Mimi nahitaji vipi?
Mafundi wenu wa magari, umeme, nyumba n.k wanawanunulia vitu fake kwa bei ya origin ili wabanie pesa.
Wanatuona aNyani tuKila Mtanzania ni shahidi.

wote kwenye magari yao wana bendera za ccmNa wafanya biashara hao ni ccm.
Suala siyo wafanyabiashara, suala ni wanunuzi, visiponunuliwa havitaletwa.Suala siyo Wachina bali Wafanyabiashara na Watz wenzetu.