Suala la Wachina kutujazia bidhaa bandia kwenye masoko yetu, je, wanatuona hatuna akili timamu?

Kila Mtanzania ni shahidi.
Mpaka vifaa muhimu vya umeme, maji na electronics bandia mchina kwa makusudi kabisa kutujazia Kariakoo kisha kusambazwa Tanzania yote.
Nguo na mavazi nako ni hatari tupu, viatu na samani za ndani pia hajatuacha salama.
Ni TBS au serikali kwa ujumla imeridhia?
Kwanini Wachina watufanyie hivi?
Unauziwa bidhaa sh. 10000, ndani ya miezi 6 unapaswa ununue mara 2-3.
Vitu imara na vyenye ubora unaokubalika kimataifa upatikani wake mgumu.
Nilikwenda kufanya shopping ya vifaa vya umeme. Naambiwa kuna fake na original, Mimi nahitaji vipi?
Mafundi wenu wa magari, umeme, nyumba n.k wanawanunulia vitu fake kwa bei ya origin ili wabanie pesa.
Asilimia kubwa ya hizo bidhaa feki ni sisi, tunawasingizia tu hao wachina.

Kuna kipindi nilikua namsaidia ndugu yangu kuwasiliana na wauzaji China, alitaka kuagizishia Stripes zile wanaweka kwenye kingo za sakafu yenye tiles, kila seller wa China tukimuuliza bei ni kubwa china kuliko Tanzania, ikabidi tutume sample na DHL kwenda china wazione, Wachina wakashangaa kweli jinsi zilivyo quality ndogo na wakatujibu mamlaka za China haziruhusu ile Quality, kwa lugha nyengine mletaji wa Tanzania anachakachua mwenyewe anakojua na kuleta huku vifaa visivyo na maana.

Wa kulaumiwa mkuu ni mamlaka za Tanzania, wao ndio wanatakiwa kusema Quality gani inaruhusiwa, zikizuiwa Container kadhaa zenye bidhaa feki hakuna mtu atakaeleta huu upuuzi.
 
Wala sio Mchina, wabongo wamejaa huko China kuweka hizo oda na kuwaletea.... Silent Ocean kila wiki anasomba makontena ya midosho na malonya ya Vunjabei.
 
Tatizo laanza kwenye uwezo wa manunuzi.
 
Kila Mtanzania ni shahidi.
Mpaka vifaa muhimu vya umeme, maji na electronics bandia mchina kwa makusudi kabisa kutujazia Kariakoo kisha kusambazwa Tanzania yote.
Nguo na mavazi nako ni hatari tupu, viatu na samani za ndani pia hajatuacha salama.
Ni TBS au serikali kwa ujumla imeridhia?
Kwanini Wachina watufanyie hivi?
Unauziwa bidhaa sh. 10000, ndani ya miezi 6 unapaswa ununue mara 2-3.
Vitu imara na vyenye ubora unaokubalika kimataifa upatikani wake mgumu.
Nilikwenda kufanya shopping ya vifaa vya umeme. Naambiwa kuna fake na original, Mimi nahitaji vipi?
Mafundi wenu wa magari, umeme, nyumba n.k wanawanunulia vitu fake kwa bei ya origin ili wabanie pesa.
Unavaa shati utazani bati. Jua likiwakaa unakimbikia kivuli mpaka lipoe
 
Suala siyo Wachina bali Wafanyabiashara na Watz wenzetu.
Huwezi kuwatoa Wachina kwenye huu mnyororo wa bidhaa bandia...!

Wafanyabiashara wanashirikiana na Wachina kwa vile wanajua ni watu ambao hawana maadili, na wako tayari kutengeneza chochote Ili mradi wanapata pesa.

Mbona mataifa kama Japan, Ujerumani n.k. hawajihusishi na hii michezo michafu?
 
Mchina anapokea oda kutoka kwako, ukitaka mdosho unapata, OG unapata, na asili ya afrika ni kupenda rahisi yaan kitonga. fullstop.

ukienda ulaya made in china zipo nyingi tu ila bei zake ni zamoto na OG mno. mchina anaunda ndege ashindwe kukuundia simu oOG
 
Serikali yako imeruhusu, hivyo wala usipate shida.
 
Wachina hadi wao kwa wao wanauziana vitu feki. Huwezi sema tatizo ni wabongo. Wanauziana vyakula feki kwa kuvipaka rangi, wanauza mafuta kutoka chooni. Ni utamaduni wao kuwa wahuni wahuni kwenye biashara, usipokuwa muhuni unaonekana faa na hujui biashara.
 
Kila Mtanzania ni shahidi.
Mpaka vifaa muhimu vya umeme, maji na electronics bandia mchina kwa makusudi kabisa kutujazia Kariakoo kisha kusambazwa Tanzania yote.
Nguo na mavazi nako ni hatari tupu, viatu na samani za ndani pia hajatuacha salama.
Ni TBS au serikali kwa ujumla imeridhia?
Kwanini Wachina watufanyie hivi?
Unauziwa bidhaa sh. 10000, ndani ya miezi 6 unapaswa ununue mara 2-3.
Vitu imara na vyenye ubora unaokubalika kimataifa upatikani wake mgumu.
Nilikwenda kufanya shopping ya vifaa vya umeme. Naambiwa kuna fake na original, Mimi nahitaji vipi?
Mafundi wenu wa magari, umeme, nyumba n.k wanawanunulia vitu fake kwa bei ya origin ili wabanie pesa.

OG utaweza bei zake? Mchina anaakili nyingi sana kuliko mzungu, anatengeneza vitu kutokana na budjet yako, ndio maana tukawekewa Grade 1, 2 na 3. Wewe na pesa yako tu.
 
Wakati mnayajadili hayo,
Nawakumbusha Dola ya Mmarekani Soko la leo inanunuliwa kwa Tshs.2,550.00.

Nawasilisha.
 
Mchina anahusikaje ikiwa Mamlaka za kudhibiti Ubora za kwenu wenyewe zipo na hao Wachina si kuwa wanaruka Ukuta kuzifikisha hizo Bidhaa Masokoni mwenu.
 
Kila Mtanzania ni shahidi.
Mpaka vifaa muhimu vya umeme, maji na electronics bandia mchina kwa makusudi kabisa kutujazia Kariakoo kisha kusambazwa Tanzania yote.
Nguo na mavazi nako ni hatari tupu, viatu na samani za ndani pia hajatuacha salama.
Ni TBS au serikali kwa ujumla imeridhia?
Kwanini Wachina watufanyie hivi?
Unauziwa bidhaa sh. 10000, ndani ya miezi 6 unapaswa ununue mara 2-3.
Vitu imara na vyenye ubora unaokubalika kimataifa upatikani wake mgumu.
Nilikwenda kufanya shopping ya vifaa vya umeme. Naambiwa kuna fake na original, Mimi nahitaji vipi?
Mafundi wenu wa magari, umeme, nyumba n.k wanawanunulia vitu fake kwa bei ya origin ili wabanie pesa.
Jibu ni ndio kweli maana kama tuna akili tusingekubali kadhaa hizi ya vitu fekiii..
Angalau tungedemand quality standard ya kati sio ya chini kabisa
 
Back
Top Bottom