gammaparticles
JF-Expert Member
- Jan 9, 2024
- 1,407
- 3,855
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa wewe unaninua kiatu cha kike au nguo Kwa shilingi elfu tatu unataka vidumu Kwa muda Gani labda ukinualnua Kwa bei hiyoNguo za kichina siku hizi unakuta wamevalisha yale ma midoli yanangaa kweli ila yafue mara moja tuu ndio mwisho wake
😄 🤣Wanatuona aNyani tu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Mwendo wa fake tu daaah
Mchina hana shida, anakupa kila brand na bei zake. Unajinyonga mwenyewe kwa pesa uliokuwa nayo.Suala siyo Wachina bali Wafanyabiashara na Watz wenzetu.