Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
Kichaa anaweza kuwa na akili tangu lini?Comrade Magufuli aliwaambia kuwa wafanye biashara popote pale,wao ndiyo wapiga kura wake,na wao ndiyo wanyonge wa nchi hii
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kichaa anaweza kuwa na akili tangu lini?Comrade Magufuli aliwaambia kuwa wafanye biashara popote pale,wao ndiyo wapiga kura wake,na wao ndiyo wanyonge wa nchi hii
Kwahiyo hakuna mwenye mamlaka ya kufuta agizo la Rais kama sio Rais mwenyewe. SSH alisema 'wapangwe vizuri hapo walipo'!Comrade Magufuli aliwaambia kuwa wafanye biashara popote pale,wao ndiyo wapiga kura wake,na wao ndiyo wanyonge wa nchi hii
Kwanini machinga waone wao wanaonewa tena leo,kwanini hawakuuona uonevu wa waziwazi kwa wenyemawazo mandala na sirikali,aka wapinzani.Leo ndio wanatambua kama walidanganywa wao ni kuni maalumu lisilo gusika?Kama kaawaida kuna ambao wanataka kutumia huu kama mtaji wa kisiasa. Wamachinga walikuwa bad handled before tusiendelee kukosea.
Hakuna Jiji au Mji ambao hauna mipango au utaratibu. Kuwaacha tu wakae au wafanyanye watakavyo si sahihi. Mnaopiga kelele hebu ruhusuni waje waweke nyumbani kwenu hayo mabanda tuone mlivyo na uchungu.
Haiwezekani waweke mabanda hadi kwenye mitaro au barabarani wakiuza kwa kuchuuza bidhaa za watu madukani ambako sasa wanunuaji hawaendi.
Kuna jengo la machinga complex...halina watu....but pia serikali itenge sehemu ambayo mar hing guys watakuwepo. Tukishindwa kujipanga tunajipanga kushindwa.
Wanasiasa wasio na hoja wanataka watumia machinga kama mtaji kwao.mimi hili nakataa....wamachinga waelekezwe au waandaliwe eneo mahsusi ambo watakuwepo. But si kuweka biashara zao popote watakapo.
Kama tunasema wengi ni degree holders bas naamini watakuwa waelewa sana na kuelewa suala la mipango miji lilivyo. Maana hao wana uelewa na wanafahamu au wanaweza kuelekezwa sheria wakazielewa.
Mkuu machinga Hana kosa, wakulaumiwa ni yule aliyewapa uhalali wa kuweka vibanda mpaka kwenye milango ya maduka kwa kigezo cha kwamba wao ndio waliompigia Kura, na ili kuhalalisha aka waletea na vitambulisho kwa malipo 20000, kwahiyo wakati tunatazama kelo zinazo sababishwa na machinga ni muhimu pia tukatazama ninani aliye wapa uhalali Wakuchafuwa majiji namna hii, nionavyo mimi hawa machinga wanatumika kama mtaji kwa wanasia Kisha baada ya hapo wanatoswa kama Ganda LA muwa, ni nafasi nzuri sasa kwa machinga ya kujitathimini upya na kujuwa wao nikina nani na wanapaswa wafanye niniKama kaawaida kuna ambao wanataka kutumia huu kama mtaji wa kisiasa. Wamachinga walikuwa bad handled before tusiendelee kukosea.
Hakuna Jiji au Mji ambao hauna mipango au utaratibu. Kuwaacha tu wakae au wafanyanye watakavyo si sahihi. Mnaopiga kelele hebu ruhusuni waje waweke nyumbani kwenu hayo mabanda tuone mlivyo na uchungu.
Haiwezekani waweke mabanda hadi kwenye mitaro au barabarani wakiuza kwa kuchuuza bidhaa za watu madukani ambako sasa wanunuaji hawaendi.
Kuna jengo la machinga complex...halina watu....but pia serikali itenge sehemu ambayo mar hing guys watakuwepo. Tukishindwa kujipanga tunajipanga kushindwa.
Wanasiasa wasio na hoja wanataka watumia machinga kama mtaji kwao.mimi hili nakataa....wamachinga waelekezwe au waandaliwe eneo mahsusi ambo watakuwepo. But si kuweka biashara zao popote watakapo.
Kama tunasema wengi ni degree holders bas naamini watakuwa waelewa sana na kuelewa suala la mipango miji lilivyo. Maana hao wana uelewa na wanafahamu au wanaweza kuelekezwa sheria wakazielewa.
... CHOCHOTE kinaweza kufanyika POPOTE alimradi ni HALALI chief? Au nimekuelewa tofauti?Kama wanauza vitu halali waachwe.wewe unayesema wanachafua mazingira.nadhani huifaham njaa.wala hujui taabu.kama Mungu amekujaalia Neema hiyo ni bora kukaa kimya kuliko kuchangia kwa mihenko pasi na kuangalia ni madhara gani watakumbana nayo.mana wengi wao ni wanafamilia.na wanasomesha dhen ukija kufanikiwa unasema machinga ni takataka.,ingali mzazi wako alikusomesha kupitia umachinga.,tuwe na akiba ya maneno..Mm sio machinga ila nafarijika nikiwaona wanaposaka Riziki zao kwenye jua Kali pasi na kukata tamaa
Kwako au kwenu it was just politics, Ila kwa washkaji ni maisha. Wamepewa access ya kupata rizki.Noma Sana,sasa hapo ukiwatoa au kuwahamisha watakuwa wanamkumbuka Sana,kumbe it was just politics
nadhani wanaolalamikiwa ni wale wanaokaaa mbele ya biashara za watuKama wanauza vitu halali waachwe.wewe unayesema wanachafua mazingira.nadhani huifaham njaa.wala hujui taabu.kama Mungu amekujaalia Neema hiyo ni bora kukaa kimya kuliko kuchangia kwa mihenko pasi na kuangalia ni madhara gani watakumbana nayo.mana wengi wao ni wanafamilia.na wanasomesha dhen ukija kufanikiwa unasema machinga ni takataka.,ingali mzazi wako alikusomesha kupitia umachinga.,tuwe na akiba ya maneno..Mm sio machinga ila nafarijika nikiwaona wanaposaka Riziki zao kwenye jua Kali pasi na kukata tamaa
🤣🤣🤣 utasikia Mtetezi wetu amekufa mmeanza tunyanyasa.Noma Sana,sasa hapo ukiwatoa au kuwahamisha watakuwa wanamkumbuka Sana,kumbe it was just politics
Kama wewe ni mtu wa mshahara huwezi kilielewa mapema, Hawa machinga Mahal wanakopanga bidhaa zao, ni kinyime na sheria taratibu za mipango miji.Kama wanauza vitu halali waachwe.wewe unayesema wanachafua mazingira.nadhani huifaham njaa.wala hujui taabu.kama Mungu amekujaalia Neema hiyo ni bora kukaa kimya kuliko kuchangia kwa mihenko pasi na kuangalia ni madhara gani watakumbana nayo.mana wengi wao ni wanafamilia.na wanasomesha dhen ukija kufanikiwa unasema machinga ni takataka.,ingali mzazi wako alikusomesha kupitia umachinga.,tuwe na akiba ya maneno..Mm sio machinga ila nafarijika nikiwaona wanaposaka Riziki zao kwenye jua Kali pasi na kukata tamaa
... sio mbele ya biashara za watu tu mkuu; kuna baadhi ya maeneo wameziba kabisa barabara za waenda kwa miguu hivyo kulazimisha waenda wa miguu kutembea kwenye lami hvyo kupelekea barabara za magari badala ya njia mbili kuwa njia moja; do you know what next? Foleni zisizoisha!nadhani wanaolalamikiwa ni wale wanaokaaa mbele ya biashara za watu
... hawanunui kutoka kila duka bali kwa wenye maduka ma-agent wakubwa wachache ambako hata wenye maduka madogo (ambao ndio wengi) nao hununua ambao, in turn, huzibiwa biashara zao na machinga.Kuna sehemu unachanganya
Umesema machinga wanachukua vitu madukani wanapanga chini, hivyo wsteja hawaendi tena madukani.
Sasa hao wa madukani vitu vyao si vinanunuliww na machinga au?
Hawa machinga hawatoi mizigo yao China, Bali wananunua hapohao kwa wenye maduka. Iweje tena mnasema wenye maduka wanalalamika?
... umenena vyema! Kama vipi sheria zirekebishwe ili kurasimisha umachinga ni mahali popote kwa sababu nao wanajipatia kipato, ni wapiga kura, na wana familia (as if hao wanaozibiwa biashara zao na wanalipa mamilioni ya kodi hawana familia).Kama wewe ni mtu wa mshahara huwezi kilielewa mapema, Hawa machinga Mahal wanakopanga bidhaa zao, ni kinyime na sheria taratibu za mipango miji.
Wewe binafsi pamoja na wote ni watanzania, huwezi kuruhusu mtu akaja kulima na kuvuna katika shamba lako ambalo unalihudumia wewe, Angalia mbele ya maduka ya watu wanaolipa mamilion ya shilingi kama kodi. Halafu machinga afanyie biashara hapo mbele ya duka lako na halipi hata sumni.
Machinga wataondoka barabarani.
Sent using Jamii Forums mobile app