Suala la Wamachinga: Uongozi Dar es Salaam ukajifunze Jijini Arusha

Suala la Wamachinga: Uongozi Dar es Salaam ukajifunze Jijini Arusha

Trubarg

JF-Expert Member
Joined
Jan 8, 2020
Posts
4,388
Reaction score
7,223
Suala la udhibiti wa Wamachinga linaonekana kufanikisha kwa kiasi nikubwa Jijini Arusha. Mitaa na maeneo yote Ingekuwa kusafi na wananchi pia wametii maagizo ya viongozi wao.

Suala hili lineinekana kupwaya sana ndani ya Jiji la Dsm na ninashauri uongozi ifanye safari ya kikazi ata ya siku Moja Jijini Arusha Ili wajifunze kitu.
 
Mh

FB_IMG_16369856794289251.jpg
 
Wapo wamachinga kituo kikuu cha polisi Arusha walioshindwa kulipa hiyo fine na kila siku wanakamatwa jioni na asubuhi...swala la machinga ni swala tata maana walijichimbia mizizi tayari baadhi ya maeneo mengi.
 
Nchi bila utaratibu itakua ni majanga, waendelee kupangwa.

#MaendeleoHayanaChama
 
Andiko lako ni sawa na kumwambia mkurugenzi wa jiji la Arusha aende akajifunze kwa nini moshi inafanikiwa kwa usafi!
Hairuhusiwi kufanya ziara za ndani..Ila za kwenda nje kujifunza kama bashite alivyoenda China ni fresh?
 
Dar ni jiji lenye wakazi zaidi ya milioni saba, Arusha sidhani kama hata tatu zinafika, unategemea kuwe na changamoto sawa? By the way, Dar wakuja ni wengi kuliko wazawa, sio rahisi kurudi nyuma upesi hivyo kama Arusha.
 
Issue hapa si idadi ya watu..nachokiona hapa Makala alifeli kutokana na kutokufanyan followups...katimua watu alaf hakuna mtu anayefanya followups kwenye maeneo aliyowatimua..at the end of the day watu wwkarudi kwenye maeneo yako.

Arusha nintofauti coz mgambo wenye harisa na maringu wanapita 24 hrs kuhakikisha hakuna anayerudi kwenye maeneo ambayo watu wamehamishwa..nachokiona sasa hv Makala itabidi aanze upya kuwapa watu deadline maana watu wamerudi almost kwenye maeneo yote ambayo aliwatimua.
 
Machinga wameondoka kwa muda ila watarudi maeneo yao ya zamani kama kawaida, hili tusha lizoea tokea enzi ya Yusuph Makamba.
 
Issue hapa si idadi ya watu..nachokiona hapa Makala alifeli kutokana na kutokufanyan followups...katimua watu alaf hakuna mtu anayefanya followups kwenye maeneo aliyowatimua..at the end of the day watu wwkarudi kwenye maeneo yako..Arusha nintofauti coz mgambo wenye harisa na maringu wanapita 24 hrs kuhakikisha hakuna anayerudi kwenye maeneo ambayo watu wamehamishwa..nachokiona sasa hv Makala itabidi aanze upya kuwapa watu deadline maana watu wamerudi almost kwenye maeneo yote ambayo aliwatimua.
Usifananishe jiji na mkoa, Arusha ni jiji la kisiasa ila kiuhalisia hamna changamoto kama za Dar na hii ni kwenye kila sekta, usishangae issue ya machinga tu. Kumbuka Dar ndio kitovu kikuu cha biashara mbalimbali Tanzania, Arusha ni Utalii na madini pekee, mengine ni kwa kiwango kidogo sana. Kama ni lawama anza kutupa kwa mzee Makamba ambaye naye alishindwa mikiki mikiki ya hao watu.
 
Suala la udhibiti wa Wamachinga linaonekana kufanikisha kwa kiasi nikubwa Jijini Arusha. Mitaa na maeneo yote Ingekuwa kusafi na wananchi pia wametii maagizo ya viongozi wao.

Suala hili lineinekana kupwaya sana ndani ya Jiji la Dsm na ninashauri uongozi ifanye safari ya kikazi ata ya siku Moja Jijini Arusha Ili wajifunze kitu.
Wafike hata hapo jirani Morogoro.wamefanikiwa.Ila pia tusichukulie poa.Dar ni jiji kubwa sana mawazo ua Arusha au Morogoro hayatekelezeki kirahisi uk cope paste kuja Dar
 
usifananishe jiji na mkoa, Arusha ni jiji la kisiasa ila kiuhalisia hamna changamoto kama za Dar na hii ni kwenye kila sekta, usishangae issue ya machinga tu. Kumbuka Dar ndio kitovu kikuu cha biashara mbalimbali Tanzania, Arusha ni Utalii na madini pekee, mengine ni kwa kiwango kidogo sana. Kama ni lawama anza kutupa kwa mzee Makamba ambaye naye alishindwa mikiki mikiki ya hao watu.
Mkuu siyo kweli..Arusha kipindi Cha miaka ya nyuma kidogo ata polisi walikua wanashindwa kutekeleza majukumu ilibidi watumie jeshi. Nadhani tusikatae Kuna kitu Cha kujifunza mkuu.
 
Hamna cha kujifunza ajifunze kwa lipi la maana Hamna zaid ya kuvunjia watu na kuwa na rohoo ya kinyama itakuwa hukai arusha wew
 
Hamna cha kujifunza ajifunze kwa lipi la maana Hamna zaid ya kuvunjia watu na kuwa na rohoo ya kinyama itakuwa hukai arusha wew
Arusha peupe mkuu...mitaro Barabara ylzote zipo wazi..
 
Back
Top Bottom