Dar ni jiji lenye wakazi zaidi ya milioni saba, Arusha sidhani kama hata tatu zinafika, unategemea kuwe na changamoto sawa? By the way, Dar wakuja ni wengi kuliko wazawa, sio rahisi kurudi nyuma upesi hivyo kama Arusha.
Issue hapa si idadi ya watu..nachokiona hapa Makala alifeli kutokana na kutokufanyan followups...katimua watu alaf hakuna mtu anayefanya followups kwenye maeneo aliyowatimua..at the end of the day watu wwkarudi kwenye maeneo yako.Dar ni jiji lenye wakazi zaidi ya milioni saba, Arusha sidhani kama hata tatu zinafika, unategemea kuwe na changamoto sawa? By the way, Dar wakuja ni wengi kuliko wazawa, sio rahisi kurudi nyuma upesi hivyo kama Arusha.
Usifananishe jiji na mkoa, Arusha ni jiji la kisiasa ila kiuhalisia hamna changamoto kama za Dar na hii ni kwenye kila sekta, usishangae issue ya machinga tu. Kumbuka Dar ndio kitovu kikuu cha biashara mbalimbali Tanzania, Arusha ni Utalii na madini pekee, mengine ni kwa kiwango kidogo sana. Kama ni lawama anza kutupa kwa mzee Makamba ambaye naye alishindwa mikiki mikiki ya hao watu.Issue hapa si idadi ya watu..nachokiona hapa Makala alifeli kutokana na kutokufanyan followups...katimua watu alaf hakuna mtu anayefanya followups kwenye maeneo aliyowatimua..at the end of the day watu wwkarudi kwenye maeneo yako..Arusha nintofauti coz mgambo wenye harisa na maringu wanapita 24 hrs kuhakikisha hakuna anayerudi kwenye maeneo ambayo watu wamehamishwa..nachokiona sasa hv Makala itabidi aanze upya kuwapa watu deadline maana watu wamerudi almost kwenye maeneo yote ambayo aliwatimua.
Wafike hata hapo jirani Morogoro.wamefanikiwa.Ila pia tusichukulie poa.Dar ni jiji kubwa sana mawazo ua Arusha au Morogoro hayatekelezeki kirahisi uk cope paste kuja DarSuala la udhibiti wa Wamachinga linaonekana kufanikisha kwa kiasi nikubwa Jijini Arusha. Mitaa na maeneo yote Ingekuwa kusafi na wananchi pia wametii maagizo ya viongozi wao.
Suala hili lineinekana kupwaya sana ndani ya Jiji la Dsm na ninashauri uongozi ifanye safari ya kikazi ata ya siku Moja Jijini Arusha Ili wajifunze kitu.
Mkuu siyo kweli..Arusha kipindi Cha miaka ya nyuma kidogo ata polisi walikua wanashindwa kutekeleza majukumu ilibidi watumie jeshi. Nadhani tusikatae Kuna kitu Cha kujifunza mkuu.usifananishe jiji na mkoa, Arusha ni jiji la kisiasa ila kiuhalisia hamna changamoto kama za Dar na hii ni kwenye kila sekta, usishangae issue ya machinga tu. Kumbuka Dar ndio kitovu kikuu cha biashara mbalimbali Tanzania, Arusha ni Utalii na madini pekee, mengine ni kwa kiwango kidogo sana. Kama ni lawama anza kutupa kwa mzee Makamba ambaye naye alishindwa mikiki mikiki ya hao watu.
Hi tunaita gusa unate
Mbezi mwisho walirudi kesho yake tu japo hawaweki mabanda wanaweka meza tu. Ila pamoja na hayo kazi kubwa sana imefanyika na Makalamasela wanarudi kwa kasi kwenye maeneo