Mimi nina kawaida ya kuwaamini sana Viongozi, huwa nawahesabu wao kama Manabii, hivyo wasemacho ni ukweli.Upo huko nini mkuu - kwa maana unatuletea stori za jikoni kabisa!
Katika biashara yangu ya ujasiriamali nimetokea kuwakopesha sana walimu na hivi karibuni nilikopesha walimu wanaokaribia kustaafu na wamekuwa wanastaafu lkn hawalipi rejesho. Sasa katika hawa niliowakopesha nimewauliza mbona Rais aliwahi kutoa maelekezo penshni zisichelewe inakuwaje?
Majibu yao sasa - Rais ndiyo kasababisha hatulipwi na tena wanadai hali ilivyo waliostaafu kuanzia Mwezi wa Saba Mwaka jana hawatalipwa kwa sababu fedha zinatumika kwenye uchaguzi na Serikali haina fedha.
Sasa hayo sijui ni ya ukweli?
Mkuu, hiki ndicho kizazi kinachoaminika kilipiga sana dili kutokana na hisia zake. Kwa hiyo ukisikia kauli kuwa nchi bado inanyooshwa, wapiga dili, wanufaika wa malipo ya wafanyakazi hewa, mafisadi, na mengine kama hayo. Basi utambue bado kizazi hiki hakijaweza kugusa huruma zake.Katika biashara yangu ya ujasiriamali nimetokea kuwakopesha sana walimu na hivi karibuni nilikopesha walimu wanaokaribia kustaafu na wamekuwa wanastaafu lkn hawalipi rejesho. Sasa katika hawa niliowakopesha nimewauliza mbona Rais aliwahi kutoa maelekezo penshni zisichelewe inakuwaje?
Majibu yao sasa - Rais ndiyo kasababisha hatulipwi na tena wanadai hali ilivyo waliostaafu kuanzia Mwezi wa Saba Mwaka jana hawatalipwa kwa sababu fedha zinatumika kwenye uchaguzi na Serikali haina fedha.
Sasa hayo sijui ni ya ukweli?
Walipeni mafao yao kwa wakati muone kama watakopa.Unakuta mstaafu kaacha ATM card na namba za siri kwa mkopeshaji mzigo ukitoka jamaa anachana tu ATM card anatoa fedha mstaafu anaambulia kiduchu huu ni utakatishaji.
Nalipa Mkuu ingawa ni indirect kupitia biashara zingine ambazo huwa ndiyo mtu akitaka kukopeshwa nachukua huko hela inayozunguka kwa bishara ninayolipa kodi so akirudisha nairuisha kwenye mzunguko huo na kodi inaendelea kulipwa.Je ktk biashara yako hiyo,unalipa kodi ya serikali?
Umenena hakika!Serikali iwalipe wastaafu pesa zao! Sio ubinadamu kuwatesa hivyo wakati pesa ni zao na wamelitumikia taifa lao kwa uaminifu na unyenyekevu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkopaji na mkopwaji wanategemeana kwa mahitajiUkimaliza kumlaumu yeye sasa hamia kwa Wanaokopa nao uwalaumu na uwapatie ushauri mbadala nini cha kufanya.
Basi usilaumiwe upande mmoja tu, Mkopaji angekuwa na chaguo mbadala sidhani kama angeingia kwenye mkopo 'onevu', na Mkopeshaji akikosa Mkopaji ataacha kukopesha atafute shughuli nyingine.Mkopaji na mkopwaji wanategemeana kwa mahitaji
Umelipa Kodi? Je una leseni kwa kuanzisha saccos hiyo??Ya shilingi elfu kumi kwa kila laki moja ninayompatia. Unataka?
Nini kifanyike?Hili wanalo sana waalimu vijijini aisee hadi huruma.
Ukistaafu huwezi kulipwa pensheni mpaka ulipwe kiinua mgongo. Sasa hapa tunaongelea wastaafu hawajalipwa, maana yake hawana hata pensheni. Huko benki unakopaje kama huna mapato rasmi? Maana mfanyakazi anakopa kwa kupitisha mshahara wake katika benki hiyo kwanzaHivi hao wastaafu mnaowasema wanakopeshwa kwa lazma au wanaenda wenyewe? Kwanza hao ni wasomi mfano walimu kwanini wasitumie akil zao kujua kwamba hizo hela znariba kubwa? Vile vile mabenki mbona yanatoa mikopo ya wastaafu kwa riba ndogo kabisa kwann wasiende huko wahangaike na hela za moto? Hapa kuna tatizo kwenye wasomi wetu pili kuna tatizi kubwa kwenye serikali coz kwa nn mtu aliyetumikia taifa kwa miaka pengne zaidi ya 30 na baada ya kustaafu ashindwe kununua hata ndala
Sent using Jamii Forums mobile app
Waboreshewe maslaiNini kifanyike?