mkulu senkondo
JF-Expert Member
- Feb 19, 2017
- 1,896
- 3,660
Hapa kwenye suala la wastaafu nchi imefeli vibaya sana. Ingawa wastaafu pesa wanazoidai serikali ni zao wenyewe lakini hawapewi kwa wakati na wengine wanafariki kutokana na mateso, taabu, misukosuko, na kila aina ya madhira yanayochochewa na umaskini ingawa serikali iliyopo inajitanabaisha kwenye majukwaa kama serikali ya wanyonge na maskini.
Kuna wastaafu mpaka Leo hawajalipwa kwa kipindi cha zaidi ya miezi kumi hadi miaka miwili.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna wastaafu mpaka Leo hawajalipwa kwa kipindi cha zaidi ya miezi kumi hadi miaka miwili.
Sent using Jamii Forums mobile app