Papy ndombe
JF-Expert Member
- Oct 24, 2020
- 3,761
- 4,535
Bongo bei kulingana na rangi yako Ili hata serikali inasapoti ubaguzi huu angalia viingilio vya mbuga zetu mweupe upigwa bei mara tatu ya mweusi iwe kuingia au kulala hotel mbugani Hali usingizi ni ule ule.Pia ni ubaguzi na ukaburu kuandika tena bei Bila aibu eti foreigner....usd ... Domestic ...T sh... Halafu tuanze sisi weusi kukomesha ubaguziUkifika Ulaya kama mtalii kuna ramani utapewa za sehemu zenye vivutio. Kuna mabasi ya sight and tour mnakuwa na tour guide anawaonyesha sehemu zenye vivutio. Mchana mtasimama kwenye mgahawa unaopika vyakula vya kwao, bei ni za kama watu wengine.
Kama unajua maeneo wala hakuna atakaekuuliza na baada ya breakfast, lunch kama mko na familia mnaweza kununua mkate na vipande vya kuku na matunda na vinywaji vyote kwa €10, mkaka park mkala vyakula vyenu.