ngara23
JF-Expert Member
- Aug 31, 2019
- 16,871
- 39,881
Jiulize Kuna uhusiano Gani kati ya mtu kuguswa bega na kupoteza mbor. o 😂
Yaani watu wanaiamin katika technology, uvumbuzi na science,
Sisi tunauana ati mtu alikugusa bega ukapoteza nyeti
Hili linaibuka katikati ya
1. Bei ya mafuta imepanda
Serikali imekosa hekima ya kulibeba hili na kuwasababishia maumivu makubwa.
Ila katikati ya huu mjadala Sasa wapumbavu wanajadili kupoteza nyeti ambazo hazipotei
2. Ripoti ya CAG
Report ya CAG imeibuwa ufisadi mkubwa kabla ya mafisadi kuwajibishwa na kufikishwa kwenye mkono wa sheria sisi tunashobokea kuibiwa nyeti ambazo hazipotei
3 Report ya mauaji ilitakiwa kutoka tarehe 3 April
Ila kabla haijatoka yanaibuka mambo ya kipumbavu ati watu wanaibiwa nyeti
4 Uteuzi wa watu ulioacha shaka Kwa wananchi akina na Kizigha
Kizigha alituhumiwa na Polepole kummaliza JPM na ufisadi wa zaidi ya billion 60 kwenye sare za police
Huu uteuzi ulitushangaza ila katikati ya huu mjadala na uhalali wao kama wanafaa kuwa wabunge linaibuka hili la kuibiwa nyeti
Watanganyika achaneni na huu mjadala wa watu kuibiwa nyeti ni propaganda
Mtu huwezi kuibiwa nyeti kishirikina ni uongo na ni aibu kujadili ushenzi kama huu