Suala la WCB, Zuchu na Diamond kufutiwa wimbo YouTube mbona fans wa WCB mmejikausha?

naona amina umerudi mjini, hadi kigagula diva kawapost na mumeo
 
Alikiba kafikaje hapa mbona tunajadili kingine wimbo wa Cheche kufungiwa
 
😂😂😂😂😂basi leo utatolewa mifano hadi ya nyimbo za jay z zilizofutwa u tube kuhalalisha wizi wa boss wao.

Domo hana ubunifu siku hizi amebaki kucopy na kupaste. Kuiba na kuhalalisha.
Sio siku hizi toka zamani Dayna Nyange aliibiwa beats akaitumia kwenye My number one..H Baba aliibiwa nataka kulewa...Mbagala alimuibia dogo wa Tandale nk nk nk
 
Hii Dunia Kuna watu wamezaliwa na bahati aisee,
We fikiria Zuchu ni msanii mkubwa kwa Sasa Ila hana hit song hata moja[emoji1787][emoji1787]
Mm mpk ss simuelewi hata anaimba nn...labda babalevo atamuandikia hit song...ni swala la mda tu
 
Wai yeye kila siku?!...kama msanii anapoteza kiredibiliti....wenye akili tunajua ni mwizi wa aidia za watu... hata video ikirudishwa ni nguvu ya teni pasenti hamna kingine!
 
Kila mtu asubuhi hii anaenda kazini, wewe endelea kula kulala tu kwa shemeji yako.
Sababu sijaumizwa na pigo lake poleni mashabiki wa cheche


Nifa acha uchawi
 
Kumbe unaishi kwa shemeji yako Real madrid card holder aiseeee


Wanaoishi kwa shemeji wamekuja kutoka vijijini huko, mi kwetu Dar halafu nipo Ughaibuni long time kitambo sana. Huku kila mtu anaishi kwake.
 
tony Antony katika ubora wako,umepitia YouTube leo???
Pole sana kwa maumivu makali unayo yapata, chuki zitakuua wewe.
 
Leo utaropoka kila kitu mkuu. Toka kwa shemeji yako
Wanaoishi kwa shemeji wamekuja kutoka vijijini huko, mi kwetu Dar halafu nipo Ughaibuni long time kitambo sana. Huku kila mtu anaishi kwake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…