Suala la WCB, Zuchu na Diamond kufutiwa wimbo YouTube mbona fans wa WCB mmejikausha?

Cheiii hama kwanza kwa shemeji yako

Then hio laki mbili mkuu tumia kupandisha status yako JF from expert member mpaka platinum member,you can be premium member too
Nikikupa laki mbili ya kibongo you can do anything I want. Bisha!
 
Cheiii hama kwanza kwa shemeji yako

Then hio laki mbili mkuu tumia kupandisha status yako JF from expert member mpaka platinum member,you can be premium member too

Nah, why should I pay while I can have it for free. Sihitaji status yoyote kwa social media, hayo ni mambo kimama.
 
Hivyo acha kujishobokesha una hela mkuu. Sio kila mtu ni omba omba

Yaani jamaa anataka kununua nyapu yako(kama ipo) kwa mia mbili tuuuuu ?
 
Sio siku hizi toka zamani Dayna Nyange aliibiwa beats akaitumia kwenye My number one..H Baba aliibiwa nataka kulewa...Mbagala alimuibia dogo wa Tandale nk nk nk
Mungu wangu husameheki kwa mkweo wala kwa vigagula!
 
Sisi Wataalam wa Masuala ya Music tulitaadharisha mapema kuhusu ku-copy Copy oneni aibu inayomkuta huyu mwanamziki wenu aliyeishiwa Kabaki kubebwa na Vikolabo vyenyewe vya ku-copy 90%

Inasikitisha sana kwa Msanii unaejiita mkubwa Kuwekeza kwenye wizi wa Idea za wenzako. Kaeni Mkao wa kula kwa Ujio wa Pini jipya la King Kiba Mzee wa Mahit Song
Video isharudi hewani 2.5 Million viewers as of today
 
Hivyo acha kujishobokesha una hela mkuu. Sio kila mtu ni omba omba

I don't understand, why are you so mean like this. Is there anything wrong with your life? Social media inakusaidia kujiona wewe ndio wewe? You're such a bully. Why don't you focus on the positive?
 
Hayo maswali jiulize mwenyewe na laki mbili yako pheeewii unadhan kila mtu ni omba omba pole kijana

Oh, nilisahau. But you can still DM me sometimes. I would like to know you more. Do you mind?
 
No. Kila convo inaishia hapa

But I like your character. I'm some kind of secret admire. Settled down, no post will be against your opinion anymore. Take care yourself, okay?
 
Back
Top Bottom