Jumbe Brown
JF-Expert Member
- Jun 23, 2020
- 12,077
- 12,786
Acha KUKARIRI ....FIFA hairuhusu serikali kuingilia mpira kama itatokea hivyo kuna janga lina kuja kwenye mpira wa bongo
Mkuu, yaani UTOPOLO, hakuna mtoto, mzee, asiyesoma au msomi, wooote likija suala la timu yao, akili zinafanana! Utopolo mtupu!inakuwaje mtu anaandika post reeeefu halafu utumbo
Nani alisema serikalo ilisogeza mbele kwa nia njemaUnajua kwanini rais wa fft alikuwa mbogo hivi karibuni na kuonyesha kuwa nafasi alikuwa nayo haiwezi. Shirikisho limejaa utelembwe manunu fc symphasizer. Maamuzi yao ni kuumiza timu fulani....
Kwa hili lilipofikia. Wewe ndiye utakua mjinga haswa. Try to use your brainFuateni sheria na taratibu; mpaka serikali na TFF waseme kwanini walihairisha mechi na kama kuna mtu alikosea aliwajibishwa lini? Acheni kupibdisha sheria kisa Simba na Yanga wanatakiwa kucheza.
Acheni ujinga.
Kwani hujui kuwa mamlaka ya wanayo ya kusogeza mbele mechi..Unawaelewa nini hapo sasa hao UtoYanga nawaelewa sana.. lazima wahusika wapate somo wasirudie tena mbeleni
Wee jamaa!! Nikupe mfano. Kwa hapa tz viwanja karibia vyote vinavyotumika ligi kuu ni vya serikali (viwanja vya chama na taifa). Sasa ikitokea serikali ikasema "TUNA MAREKEBISHO YA VIWANJA VYETU VYOTE NCHINI KWA MUDA WA MIEZI 6" Je tff itaendesha vipi ligi??FIFA hairuhusu serikali kuingilia mpira kama itatokea hivyo kuna janga lina kuja kwenye mpira wa bongo
Viwanja vunatumika bure? serikali inabaki kwenye usimamizi wa sera mambo ya kuongoza mpira ni ya shirikishoWakati mwingine muwe mnatumia hata akili za uti wa mgongo tu iwapo kichwani kumejaa vitu vingine...
Kuna jambo Serikali litafanya halafu lawama zitakuwa kwa TFF na Simba SC.Hili kosa la kuahirisha mechi sio la TFF , ni la serikali, sasa yanga wakidinda sio kwamba wanamkazia TFF wanaikazia pia serikali ambayo ina namna mia za kuwafunza adabu na kuwarudisha kwenye mstari. Waziri au katibu mkuu au yeyote aliyetoa hili boko hatakubali dharau na aibu zaidi. Sasa kama yanga wanafikiri kusimamia sheria siku zote ndio kunaleta ushindi hawazijui siasa za Afrika. Habe tusubiri kidogo tuone!!
Finally utakuja kujua wewe ndo mjingaAcha KUKARIRI ....
Huo UJINGA wewe.....
FIFA ndiyo inayosimamia Mambo ya ndani ya NCHI ?!!!
Unataka FIFA ifafanuliwe na serikali kilichotokea kupelekea mechi kuahirishwa?!!
UJINGA MTUPU
Unamsema Waziri wa Michezo ambaye ni Mwanachama wa YangaYaani mtu kashiba zake tu kande huko ana ahirisha mechi, mpka leo sababu haija wahi tajwa, hakuna kiongozi kawajibishwa huu upuuzi upo tu Tz
Huoni kama kurekebisha viwanja ni sababu ya msingi?Wee jamaa!! Nikupe mfano. Kwa hapa tz viwanja karibia vyote vinavyotumika ligi kuu ni vya serikali (viwanja vya chama na taifa). Sasa ikitokea serikali ikasema "TUNA MAREKEBISHO YA VIWANJA VYETU VYOTE NCHINI KWA MUDA WA MIEZI 6" Je tff itaendesha vipi ligi??
Haijalishi ni wa team gani awajibikeUnamsema Waziri wa Michezo ambaye ni Mwanachama wa Yanga
Hata mimi naungana na Yanga. Na wakijafanya kuwaadhibu,Yanga waende FIFA,kanuni zifuatwe hala muone nani atakuwa mshindi kati ya Yanga,Serikali na TFF. Tunapigwa burn ya kutosha.Hawa Yanga ni kama wanakwepa fedheha
inakuwaje mtu anaandika post reeeefu halafu utumbo
Yanga wamepata pakushika,na ikibainika ni kweli mchezo wa awali uliahirishwa kwa maagizo ya serikali,amini lazima tufungiwi na FIFA. Mkiacha kuongea kishabiki,Yanga wako upande salama kuliko TFF na serikali.Itakua ni aibu kwa timu kubwa kama Yanga kuogopa kucheza na Simba,hivi iyo July 3 kama ingekua ni mechi na Gwambina Yanga wangesusa?
Kweli kabisa. Na mimi nashauri na natamani msimamo uwe ni huohuo. Ili TFF wajikaange wenyewe.Yanga nawaelewa sana.. lazima wahusika wapate somo wasirudie tena mbeleni