Suala la Yanga kutotaka kucheza tarehe 3 julai ni dharau kwa TFF, serikali na wapenzi wa soka

Suala la Yanga kutotaka kucheza tarehe 3 julai ni dharau kwa TFF, serikali na wapenzi wa soka

Serikali ndiyo ILIYOIHARISHA ile mechi......

Kwa hiyo timu yangu Yanga SC inataka kusema SERIKALI ilikosea?!!!

Kwa hiyo timu yangu Yanga SC inataka "kuidindia" serikali yetu adhimu ?!!!!!

******************
INAACHA MSHANGAO SANA.....

#KaziIendelee
 
FIFA hairuhusu serikali kuingilia mpira kama itatokea hivyo kuna janga lina kuja kwenye mpira wa bongo
Acha KUKARIRI ....
Huo UJINGA wewe.....

FIFA ndiyo inayosimamia Mambo ya ndani ya NCHI ?!!!

Unataka FIFA ifafanuliwe na serikali kilichotokea kupelekea mechi kuahirishwa?!!

UJINGA MTUPU
 
Unajua kwanini rais wa fft alikuwa mbogo hivi karibuni na kuonyesha kuwa nafasi alikuwa nayo haiwezi. Shirikisho limejaa utelembwe manunu fc symphasizer. Maamuzi yao ni kuumiza timu fulani....
Nani alisema serikalo ilisogeza mbele kwa nia njema
 
Fuateni sheria na taratibu; mpaka serikali na TFF waseme kwanini walihairisha mechi na kama kuna mtu alikosea aliwajibishwa lini? Acheni kupibdisha sheria kisa Simba na Yanga wanatakiwa kucheza.
Acheni ujinga.
Kwa hili lilipofikia. Wewe ndiye utakua mjinga haswa. Try to use your brain
 
FIFA hairuhusu serikali kuingilia mpira kama itatokea hivyo kuna janga lina kuja kwenye mpira wa bongo
Wee jamaa!! Nikupe mfano. Kwa hapa tz viwanja karibia vyote vinavyotumika ligi kuu ni vya serikali (viwanja vya chama na taifa). Sasa ikitokea serikali ikasema "TUNA MAREKEBISHO YA VIWANJA VYETU VYOTE NCHINI KWA MUDA WA MIEZI 6" Je tff itaendesha vipi ligi??
 
Hili kosa la kuahirisha mechi sio la TFF , ni la serikali, sasa yanga wakidinda sio kwamba wanamkazia TFF wanaikazia pia serikali ambayo ina namna mia za kuwafunza adabu na kuwarudisha kwenye mstari. Waziri au katibu mkuu au yeyote aliyetoa hili boko hatakubali dharau na aibu zaidi. Sasa kama yanga wanafikiri kusimamia sheria siku zote ndio kunaleta ushindi hawazijui siasa za Afrika. Habe tusubiri kidogo tuone!!
Kuna jambo Serikali litafanya halafu lawama zitakuwa kwa TFF na Simba SC.
 
Acha KUKARIRI ....
Huo UJINGA wewe.....

FIFA ndiyo inayosimamia Mambo ya ndani ya NCHI ?!!!

Unataka FIFA ifafanuliwe na serikali kilichotokea kupelekea mechi kuahirishwa?!!

UJINGA MTUPU
Finally utakuja kujua wewe ndo mjinga
 
Wee jamaa!! Nikupe mfano. Kwa hapa tz viwanja karibia vyote vinavyotumika ligi kuu ni vya serikali (viwanja vya chama na taifa). Sasa ikitokea serikali ikasema "TUNA MAREKEBISHO YA VIWANJA VYETU VYOTE NCHINI KWA MUDA WA MIEZI 6" Je tff itaendesha vipi ligi??
Huoni kama kurekebisha viwanja ni sababu ya msingi?
 
Itakua ni aibu kwa timu kubwa kama Yanga kuogopa kucheza na Simba,hivi iyo July 3 kama ingekua ni mechi na Gwambina Yanga wangesusa?
Yanga wamepata pakushika,na ikibainika ni kweli mchezo wa awali uliahirishwa kwa maagizo ya serikali,amini lazima tufungiwi na FIFA. Mkiacha kuongea kishabiki,Yanga wako upande salama kuliko TFF na serikali.
 
BINGWA AMESHAJULIKANA . wao walitakiwa wacheze kukamilisha ratiba tu
 
Back
Top Bottom