Chukwu emeka
JF-Expert Member
- Jan 12, 2018
- 24,314
- 38,919
Fuateni sheria na taratibu; mpaka serikali na TFF waseme kwanini walihairisha mechi na kama kuna mtu alikosea aliwajibishwa lini? Acheni kupibdisha sheria kisa Simba na Yanga wanatakiwa kucheza.
Acheni ujinga.
Yanga inabidi washushwe madaraja tu ili washike adabu, kukosa ubingwa miaka 3 kunawaumiza sana.Nimeona msemaji wa Yanga anayejulikana kama Bumbuli,akitaja mechi zilizobaki katika premier kuwa ni nne tu huku alisema wao yanga hawatambui mechi ya tarehe 3...
Wewe ndo Dunya. Utumbo ni wewe!!inakuwaje mtu anaandika post reeeefu halafu utumbo
Tff wenyewe uswahili na ubabaishaji kwa sanaNimeona msemaji wa Yanga anayejulikana kama Bumbuli,akitaja mechi zilizobaki katika premier kuwa ni nne tu huku alisema wao yanga hawatambui mechi ya tarehe 3...
Hivi hiyo July 3 ligi itakuwa bado inaendelea tu?Nimeona msemaji wa Yanga anayejulikana kama Bumbuli,akitaja mechi zilizobaki katika premier kuwa ni nne tu huku alisema wao yanga hawatambui mechi ya tarehe 3...
Bora wewe unatazama mbali. Wengine humu wanaongelea unazi wa timu.FIFA hairuhusu serikali kuingilia mpira kama itatokea hivyo kuna janga lina kuja kwenye mpira wa bongo
Mpuuzi ni wewe na uvivu wako wa kusoma. Akili ndogo.Muda uliopoteza kuandika hili shudu bora ungesuka hata mkeka. Upuuzi mtupu.
we Yanga tuuu π€£π€£π€£Wewe ndo Dunya. Utumbo ni wewe!!
Tena yule mnyama haramu.
Kwakuwa umemalizia kwa kicheko......kwa kicheko hicho najua umeelewa sasa.we Yanga tuuu [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
πππππ π’ππππ πππ π ππππππ! ππ π ππππ πππππ’π π’ππππ π ππππππ ππ’πππ ππππππ π’π ππππππππππππ π ππ π πππππ ππ ππππ πππππ π ππππππππ ππ ππππ ππππππ ππππππ ππππππ π π’ππππππππ ππππ.Hii ni kujaribu kuongoza uasi dhidi ya serikali kwa vile unamiliki kundi kubwa la watu...
Timu ipewe hizo alama tatu unadhani ni rahisi kama unavyofikiri..!Mimi ninavyojua kwa kanuni za mpira Yanga inabidi wapewe points 3 na magoli 3 kwakua timu pinzani haikutokea uwanjani.
Hivyo Yanga wapo sahihi.
Wanaogopa gharika ya magoliItakua ni aibu kwa timu kubwa kama Yanga kuogopa kucheza na Simba,hivi iyo July 3 kama ingekua ni mechi na Gwambina Yanga wangesusa?
Umeandika utopolo mwingi sana,hivi huko Utopolo kuna mwenye akili timamu hata mmoja?Unajua kwanini rais wa fft alikuwa mbogo hivi karibuni na kuonyesha kuwa nafasi alikuwa nayo haiwezi. Shirikisho limejaa utelembwe manunu fc symphasizer. Maamuzi yao ni kuumiza timu fulani...
Wanakwepa fedheha gani wakati kuna uwezekano wakakutana fainali ya kombe la azamHawa Yanga ni kama wanakwepa fedheha
Siasa za Africa ndio nn embo ongea pointHili kosa la kuahirisha mechi sio la TFF , ni la serikali, sasa yanga wakidinda sio kwamba wanamkazia TFF wanaikazia pia serikali ambayo ina namna mia za kuwafunza adabu na kuwarudisha kwenye mstari...
Hii bado ni kama haina uhakika, tunataka ya ligiWanakwepa fedheha gani wakati kuna uwezekano wakakutana fainali ya kombe la azam