Chukwu emeka
JF-Expert Member
- Jan 12, 2018
- 24,314
- 38,919
Yanga siyo wajinga, wanawatu Serikalini na huko tifuatifua, kila kinachofanyika kinafahamika vizuri......muda utaongea na huo upuuzi utafahamika tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Fuateni sheria na taratibu; mpaka serikali na TFF waseme kwanini walihairisha mechi na kama kuna mtu alikosea aliwajibishwa lini? Acheni kupibdisha sheria kisa Simba na Yanga wanatakiwa kucheza.
Acheni ujinga.
Yanga inabidi washushwe madaraja tu ili washike adabu, kukosa ubingwa miaka 3 kunawaumiza sana.Nimeona msemaji wa Yanga anayejulikana kama Bumbuli,akitaja mechi zilizobaki katika premier kuwa ni nne tu huku alisema wao yanga hawatambui mechi ya tarehe 3...
Wewe ndo Dunya. Utumbo ni wewe!!inakuwaje mtu anaandika post reeeefu halafu utumbo
Tff wenyewe uswahili na ubabaishaji kwa sanaNimeona msemaji wa Yanga anayejulikana kama Bumbuli,akitaja mechi zilizobaki katika premier kuwa ni nne tu huku alisema wao yanga hawatambui mechi ya tarehe 3...
Hivi hiyo July 3 ligi itakuwa bado inaendelea tu?Nimeona msemaji wa Yanga anayejulikana kama Bumbuli,akitaja mechi zilizobaki katika premier kuwa ni nne tu huku alisema wao yanga hawatambui mechi ya tarehe 3...
Bora wewe unatazama mbali. Wengine humu wanaongelea unazi wa timu.FIFA hairuhusu serikali kuingilia mpira kama itatokea hivyo kuna janga lina kuja kwenye mpira wa bongo
Mpuuzi ni wewe na uvivu wako wa kusoma. Akili ndogo.Muda uliopoteza kuandika hili shudu bora ungesuka hata mkeka. Upuuzi mtupu.
we Yanga tuuu 🤣🤣🤣Wewe ndo Dunya. Utumbo ni wewe!!
Tena yule mnyama haramu.
Kwakuwa umemalizia kwa kicheko......kwa kicheko hicho najua umeelewa sasa.we Yanga tuuu [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
𝚓𝚘𝚖𝚋𝚊 𝚢𝚊𝚗𝚐𝚊 𝚜𝚒𝚘 𝚠𝚊𝚓𝚒𝚗𝚐𝚊! 𝚔𝚠𝚊 𝚑𝚊𝚕𝚒 𝚒𝚕𝚒𝚟𝚢𝚘 𝚢𝚊𝚗𝚐𝚊 𝚠𝚊𝚗𝚊𝚓𝚞𝚊 𝚟𝚢𝚎𝚖𝚊 𝚜𝚊𝚋𝚊𝚋𝚞 𝚢𝚊 𝚔𝚞𝚊𝚐𝚑𝚊𝚒𝚕𝚒𝚜𝚑𝚠𝚊 𝚔𝚠𝚊 𝚖𝚎𝚌𝚑𝚒 𝚗𝚊 𝚗𝚍𝚒𝚘 𝚖𝚊𝚊𝚗𝚊 𝚠𝚊𝚖𝚎𝚔𝚘𝚖𝚊𝚊 𝚗𝚊 𝚗𝚒𝚗𝚊 𝚑𝚊𝚔𝚒𝚔𝚊 𝚜𝚊𝚋𝚊𝚋𝚞 𝚒𝚕𝚒𝚔𝚞𝚠𝚊 𝚢𝚊𝚔𝚒𝚓𝚒𝚗𝚐𝚊 𝚜𝚊𝚗𝚊.Hii ni kujaribu kuongoza uasi dhidi ya serikali kwa vile unamiliki kundi kubwa la watu...
Timu ipewe hizo alama tatu unadhani ni rahisi kama unavyofikiri..!Mimi ninavyojua kwa kanuni za mpira Yanga inabidi wapewe points 3 na magoli 3 kwakua timu pinzani haikutokea uwanjani.
Hivyo Yanga wapo sahihi.
Wanaogopa gharika ya magoliItakua ni aibu kwa timu kubwa kama Yanga kuogopa kucheza na Simba,hivi iyo July 3 kama ingekua ni mechi na Gwambina Yanga wangesusa?
Umeandika utopolo mwingi sana,hivi huko Utopolo kuna mwenye akili timamu hata mmoja?Unajua kwanini rais wa fft alikuwa mbogo hivi karibuni na kuonyesha kuwa nafasi alikuwa nayo haiwezi. Shirikisho limejaa utelembwe manunu fc symphasizer. Maamuzi yao ni kuumiza timu fulani...
Wanakwepa fedheha gani wakati kuna uwezekano wakakutana fainali ya kombe la azamHawa Yanga ni kama wanakwepa fedheha
Siasa za Africa ndio nn embo ongea pointHili kosa la kuahirisha mechi sio la TFF , ni la serikali, sasa yanga wakidinda sio kwamba wanamkazia TFF wanaikazia pia serikali ambayo ina namna mia za kuwafunza adabu na kuwarudisha kwenye mstari...
Hii bado ni kama haina uhakika, tunataka ya ligiWanakwepa fedheha gani wakati kuna uwezekano wakakutana fainali ya kombe la azam