Mimi sijui kama yalifanyika.Timu ipewe hizo alama tatu unadhani ni rahisi kama unavyofikiri....
Uzi unazungumzia mechi ya tarehe 3 Julai, 2021, sio wa mechi iliyofutwa, vinginevyo tutakuwa hatusongi mbeleHili suala lina siasa 99.99%. TFF na bodi ya ligi walionyesha udhaifu mkubwa sana hapa.
Taratibu ni kwamba bodi ya ligi inapanga ratiba, timu inalazimika kucheza mpira kulingana na ratibaFuateni sheria na taratibu; mpaka serikali na TFF waseme kwanini walihairisha mechi na kama kuna mtu alikosea aliwajibishwa lini? Acheni kupibdisha sheria kisa Simba na Yanga wanatakiwa kucheza.
Unajua ulichohoji?Uzi unazungumzia mechi ya tarehe 3 Julai, 2021, sio wa mechi iliyofutwa, vinginevyo tutakuwa hatusongi mbele
Mimi sijui kama yalifanyika.
Ila nilisoma sehemu kwamba Yanga walienda uwanjani wakakaa kwa nusu saa wakaondoka. Timu pinzani haikwenda kutokana na tangazo, na hilo tangazo halikufuata kanuni.
Hivyo tangazo ni batili. Kama tangazo ni batili Yanga walikua sahihi kuhudhuria muda wa mechi uliopangwa.
Tukutane nao Azam capYanga wanaogopa Simba
Tulia tukutane Azam cupMimi sijui kama yalifanyika.
Ila nilisoma sehemu kwamba Yanga walienda uwanjani wakakaa kwa nusu saa wakaondoka. Timu pinzani haikwenda kutokana na tangazo, na hilo tangazo halikufuata kanuni.
Hivyo tangazo ni batili. Kama tangazo ni batili Yanga walikua sahihi kuhudhuria muda wa mechi uliopangwa.
Tulia mzee babaUmeandika utopolo mwingi sana,hivi huko Utopolo kuna mwenye akili timamu hata mmoja?
Azam cup tunakutana naowe Yanga tuuu [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Azam cup wajeeeKwani mpira wa miguu ili ukamilike ni mambo gani ya kuzingatia? Je kamisaa wa mchezo walikuwepo? Referii je, hawa Yanga nani aliwakagua tayari kwa kuanza mechi katika hizo dk za 30? Wanaweza wakawa na hoja ila kwa stail hii wataanguka mapema.
Yaani kama hivyo maana yake makamisaa wanatakiwa wawajibishwe kwa utovu wa nidhamu kwa kutoripoti eneo lao la kaziKwani mpira wa miguu ili ukamilike ni mambo gani ya kuzingatia? Je kamisaa wa mchezo walikuwepo? Referii je, hawa Yanga nani aliwakagua tayari kwa kuanza mechi katika hizo dk za 30? Wanaweza wakawa na hoja ila kwa stail hii wataanguka mapema.
Azam cup ni nini? Tz kuna ligi zaidi ya VPL?Tulia tukutane Azam cup
Kule tuwapige hata goli tano yaan...Tulia tukutane Azam cup
Serikali ni ya watu, inapaswa kutenda haki kwa masilahi ya watu. Tatizo ninalo liona watendaji karibu wote wanafanya mambo kwa ushabiki wa timu zaoKuna jambo Serikali litafanya halafu lawama zitakuwa kwa TFF na Simba SC.
Wasipoleta timu uwanjani wanashushwa hadi daraja la pili. Huyu kilaza Bumbuli atawagharimu sana uto.Ahahahaha waswahili bhana kama hamuelewi vile,[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] hamjui kuwa ndani ya timu kuna wachezaji 4 wanataka kuondoka na ndo first eleven kipindi hicho wanawambia wasipowasikiliza wasubiri gemu zijazo?? Haya yote viongozi hawaelewi nini wafanye ili klabu itulie ndo juzi wakaibuka na CAS hawakujua kuwa siku hizi mambo yako mikononi tu,ikawa haibu kwa sasa wanacheza na akili za mashabiki ili kupunguza maswali ni kwamba july 3 gemu inapigwa kama kawa haya yote wanapozapoza maumivu na mizigo ya stress iliyoko huko ndani. Mark my words