Castr
JF-Expert Member
- Apr 5, 2014
- 35,012
- 70,201
Mimi sijui kama yalifanyika.Timu ipewe hizo alama tatu unadhani ni rahisi kama unavyofikiri....
Ila nilisoma sehemu kwamba Yanga walienda uwanjani wakakaa kwa nusu saa wakaondoka. Timu pinzani haikwenda kutokana na tangazo, na hilo tangazo halikufuata kanuni.
Hivyo tangazo ni batili. Kama tangazo ni batili Yanga walikua sahihi kuhudhuria muda wa mechi uliopangwa.