Suala la Yanga kutotaka kucheza tarehe 3 julai ni dharau kwa TFF, serikali na wapenzi wa soka

Kule tuwapige hata goli tano yaan...

Me najiuliza, ile game wangekuwa wanacheza na Mwadui wangegoma kucheza?
Yaaaan
Ubingwa washaukosa
Nafasi ya pili ni azam
Azam cup tutapiga hao
 
Ni 3 wanasepa.
[emoji23][emoji23][emoji23]

Yule mmoja kawakatisha tamaa kabisa.
 

Uongozi wa Yanga wanajua kabisa mwisho wa ajira yao ni tarehe 3/07/2021. Sasa ni namna ya kurefusha muda wa ajira ndio wanatafuta.
 
Nasikia Rais wa TFF aliwapiga vijembe wakati wa hotuba yake wakati anapokea udhamini wa Azam. Yanga wakipeleka timu siku hiyo watajivika na kuvika mashabiki wao aibu ya milele.
 
Serikali ni ya watu, inapaswa kutenda haki kwa masilahi ya watu. Tatizo ninalo liona watendaji karibu wote wanafanya mambo kwa ushabiki wa timu zao
Haki inakuja sambamba na wajibu. Ni wajibu wa timu kuingiza vikosi uwanjani na kucheza mpira
 
Yatari bumbuli timu ishamkana huko 🤣🤣🤣 niliwaambia Hawa wanatafuta kiki kwa mashabiki lakini gemu iko pale pale
 
Yanga tumebakiza mechi 4 mwadui ,Ruvu shooting ,Dodoma jiji na Ihefu na viongoz wakitaka tuwapige mawe walete team uwanjan
 
Fuateni sheria na taratibu; mpaka serikali na TFF waseme kwanini walihairisha mechi na kama kuna mtu alikosea aliwajibishwa lini?

Acheni kupibdisha sheria kisa Simba na Yanga wanatakiwa kucheza.

Acheni ujinga.
Ni sheria ngapi vilabu hivi vinavunja pasipo aibu halafu hii kanuni tu ndo mng'ang'ane nayo. Hamuwalipi wachezaji stahiki zao hadi mnapelekwa FIFA ndo mnawalipa. Mfano Amisi Tambwe hadi kawapeleka FIFA ndo mkamlipa vinginevyo mlitaka kumdhulumu haki yake.

Acheni uoga ingieni uwanjani askari hachagui muda na sehemu ya mapigano. Mnatia aibu bana.
 
Umeishia kulalama tu hujatoa hitimisho iwapo mazingira kama hayo yametokea kuahirisha mechi maana yake isichezwe kabisa au nini kinafuata baada ya hapo kwa mujibu wa kanuni?

Laiti kama Yanga wangekuwa na uhakika wa ubingwa msimu huu au hata probability tu ya ubingwa wasingegomea mechi ila kwakuwa wameona hakuna hata chembe ya dalili kwao kuchukua ubingwa wameona bora waanze figisu ili mradi ionekane wameonewa. Shame on you.
 
Kama yanga wakisusia mechi kitu ambacho siamini kwa sababu kaimu katibu mkuu wao ameshaikanusha kanuni inasema ashushwe daraja na iwapo itatokea yanga kushushwa wa kulaumiwa ni uongozi.
Washabiki wanaosema yanga wasusie ni wale wanaoogopa kipigo cha aibu watakachopata, pia Bumbuli inabidi achukuliwe hatua kwani inawezekana ni mbinu ya kuidhoofisha Simba kimapato.
Halafu akifungiwa anaanza kulialia kuwa ameonewa.
 
Nilitegemea kwenye maelezo yote haya ningeokota walao point moja. Yaani umeandika puuuuumba tupu. BASI PANGENI NYIE LINI MNANALETA TIMU UWANJANI, TENA WAAMBIE SIMBA NUSU SAA KABLA YA MCHEZO ILI MRADI WAWE DAR, KITAPIGWA.
 
Tukutane Azam Cup

[emoji3][emoji3]
Haaa[emoji23].
kwa akili za Utopolo wanaweza kupoteza kwa makusudi mechi yao ya nusu kuingia final ili kukwepa aibu na fedheha ya mlima wa magoli kutoka kwa mnyama ligi ya f.a
 
Hahaha hamna FIFA wala nn hapo. Serikali ni serikali tu. Hivi ishindikane kuingiliwa kwenye mambo ya uchaguzi ndio iwezekane kwenye mpira ah wapi. Huh mgomo ni danganya Toto tu
 
Mimi Ni Simba lakini naunga mkono yanga wakomae hadi mwisho..jasho liwatoke waliofanya ujinga huu..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…