1kush africa
JF-Expert Member
- Dec 13, 2016
- 9,552
- 13,090
YaaaanKule tuwapige hata goli tano yaan...
Me najiuliza, ile game wangekuwa wanacheza na Mwadui wangegoma kucheza?
Ubingwa washaukosa
Nafasi ya pili ni azam
Azam cup tutapiga hao
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
YaaaanKule tuwapige hata goli tano yaan...
Me najiuliza, ile game wangekuwa wanacheza na Mwadui wangegoma kucheza?
Ni 3 wanasepa.Ahahahaha waswahili bhana kama hamuelewi vile,[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] hamjui kuwa ndani ya timu kuna wachezaji 4 wanataka kuondoka na ndo first eleven kipindi hicho wanawambia wasipowasikiliza wasubiri gemu zijazo?? Haya yote viongozi hawaelewi nini wafanye ili klabu itulie ndo juzi wakaibuka na CAS hawakujua kuwa siku hizi mambo yako mikononi tu,ikawa haibu kwa sasa wanacheza na akili za mashabiki ili kupunguza maswali ni kwamba july 3 gemu inapigwa kama kawa haya yote wanapozapoza maumivu na mizigo ya stress iliyoko huko ndani. Mark my words
Nimeona msemaji wa Yanga anayejulikana kama Bumbuli, akitaja mechi zilizobaki katika premier kuwa ni nne tu huku alisema wao yanga hawatambui mechi ya tarehe 3.
Jambo hili kama kweli litatokea, itakuwa ni dharau kwa TFF, serikali ambayo waziri wake alishiriki kwenye kuahirishwa kwa mechi ile na alishiriki kikao cha usuluhishi, pia ni dharau kwa wapenzi wa soka ambao walianza kurudisha mapenzi na soka la nchi hii. Na ninaamini hata mdhamini wa ligi hawezi kufurahishwa na tabia hii wanayotaka kuonesha yanga,ijapo mpaka sasa hivi naamini ni mbinu ya kumzubaisha mpinzani ili a relax halafu siku hiyo imshitukize kama mwivi.
Natoa rai kuwa sasa ndio muda sahihi kwa TFF kuwachukulia hatua kali .wote wanaoendekeza uswahili
Watakimbia nako piaTukutane nao Azam cap
Sijahoji, nimetoa taarifa.Unajua ulichohoji?
Haki inakuja sambamba na wajibu. Ni wajibu wa timu kuingiza vikosi uwanjani na kucheza mpiraSerikali ni ya watu, inapaswa kutenda haki kwa masilahi ya watu. Tatizo ninalo liona watendaji karibu wote wanafanya mambo kwa ushabiki wa timu zao
Mnaogopa kipigo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Yanga tumebakiza mechi 4 mwadui ,Ruvu shooting ,Dodoma jiji na Ihefu na viongoz wakitaka tuwapige mawe walete team uwanjan
Ni sheria ngapi vilabu hivi vinavunja pasipo aibu halafu hii kanuni tu ndo mng'ang'ane nayo. Hamuwalipi wachezaji stahiki zao hadi mnapelekwa FIFA ndo mnawalipa. Mfano Amisi Tambwe hadi kawapeleka FIFA ndo mkamlipa vinginevyo mlitaka kumdhulumu haki yake.Fuateni sheria na taratibu; mpaka serikali na TFF waseme kwanini walihairisha mechi na kama kuna mtu alikosea aliwajibishwa lini?
Acheni kupibdisha sheria kisa Simba na Yanga wanatakiwa kucheza.
Acheni ujinga.
Umeishia kulalama tu hujatoa hitimisho iwapo mazingira kama hayo yametokea kuahirisha mechi maana yake isichezwe kabisa au nini kinafuata baada ya hapo kwa mujibu wa kanuni?Unajua kwanini rais wa TFF alikuwa mbogo hivi karibuni na kuonyesha kuwa nafasi alikuwa nayo haiwezi. Shirikisho limejaa utelembwe manunu fc symphasizer. Maamuzi yao ni kuumiza timu fulani. Oo yanga wanaiongopa simba mbona mnahangaika kuwafunga gwambina?sema sababu ya kuahirisha one of the best Derby in africa.
Hakuna aliyetoa sababu. Je kwanini simba hawalalamiki huu upuuzi?unajua simba walikuwa wanajua mechi imeahirisha siku moja kabla?halafu yanga wanavuka daraja la nyerere ndio wanapigiwa simu mechi imehairishwa.
Unajua kutokana na ratiba ya mechi wachezaji muda huo wanakuwa wameshakura?then unawabadirishia ratiba kienyeji?hivyo katikati ya mechi watu waanze kwenda chooni. Huku wapinzani wao wamefuata utaratibu wa kujiandaa kwa mechi na mpangilio wa chakula wakati wapinzani wao hawajui.tunawambia fft wafuate kanuni.
Na kwa taarifa yako aliyeahirisha mechi sio waziri husika.ndio maana waziri hajachukuliwa hatua yoyote. Then nini kuhusu maelfu ya mashabiki walitokuwa uwanjani doesn't it make sense watu 60,000 wapo uwanjani then unahairisha mechi for no reason. Je vipi waliofunga?je vipi waliosafiri?na mechi hii imeahirisha kwa mara ya kwanza in favour ya manunu fc kwani ratiba ilikuwa katikati ya mechi mbili ngumu za champions league.
Je, vipi kuhusu gharama timu zimetumia kujiandaa nani anarudisha? vipi kuhusu mashabiki walio safiri kutoka nje ya dsm na nje ya nchi nani atarudisha. Unajua sababu ya kuahirisha mechi ni aibu kuitaja
Nilitegemea kwenye maelezo yote haya ningeokota walao point moja. Yaani umeandika puuuuumba tupu. BASI PANGENI NYIE LINI MNANALETA TIMU UWANJANI, TENA WAAMBIE SIMBA NUSU SAA KABLA YA MCHEZO ILI MRADI WAWE DAR, KITAPIGWA.Unajua kwanini rais wa TFF alikuwa mbogo hivi karibuni na kuonyesha kuwa nafasi alikuwa nayo haiwezi. Shirikisho limejaa utelembwe manunu fc symphasizer. Maamuzi yao ni kuumiza timu fulani. Oo yanga wanaiongopa simba mbona mnahangaika kuwafunga gwambina?sema sababu ya kuahirisha one of the best Derby in africa.
Hakuna aliyetoa sababu. Je kwanini simba hawalalamiki huu upuuzi?unajua simba walikuwa wanajua mechi imeahirisha siku moja kabla?halafu yanga wanavuka daraja la nyerere ndio wanapigiwa simu mechi imehairishwa.
Unajua kutokana na ratiba ya mechi wachezaji muda huo wanakuwa wameshakura?then unawabadirishia ratiba kienyeji?hivyo katikati ya mechi watu waanze kwenda chooni. Huku wapinzani wao wamefuata utaratibu wa kujiandaa kwa mechi na mpangilio wa chakula wakati wapinzani wao hawajui.tunawambia fft wafuate kanuni.
Na kwa taarifa yako aliyeahirisha mechi sio waziri husika.ndio maana waziri hajachukuliwa hatua yoyote. Then nini kuhusu maelfu ya mashabiki walitokuwa uwanjani doesn't it make sense watu 60,000 wapo uwanjani then unahairisha mechi for no reason. Je vipi waliofunga?je vipi waliosafiri?na mechi hii imeahirisha kwa mara ya kwanza in favour ya manunu fc kwani ratiba ilikuwa katikati ya mechi mbili ngumu za champions league.
Je, vipi kuhusu gharama timu zimetumia kujiandaa nani anarudisha? vipi kuhusu mashabiki walio safiri kutoka nje ya dsm na nje ya nchi nani atarudisha. Unajua sababu ya kuahirisha mechi ni aibu kuitaja
Yanga imara.Hili suala lina siasa 99.99%. TFF na bodi ya ligi walionyesha udhaifu mkubwa sana hapa.
Haaa[emoji23].Tukutane Azam Cup
[emoji3][emoji3]