A Anonymous Guest Oct 5, 2026 #1 Habari Admin, napenda kukujulisha kuwa suala nililowasilisha hapa kuhusu placement za waajiriwa wapya wa VETA sasa tumeshapewa ufafanuzi. Tumeitwa kwenye semina itaksyofanyika tarehe 7 na 8 mwezi wa 10/2026
Habari Admin, napenda kukujulisha kuwa suala nililowasilisha hapa kuhusu placement za waajiriwa wapya wa VETA sasa tumeshapewa ufafanuzi. Tumeitwa kwenye semina itaksyofanyika tarehe 7 na 8 mwezi wa 10/2026
Jemima Mrembo JF-Expert Member Joined Jul 19, 2021 Posts 3,029 Reaction score 8,823 Oct 5, 2026 #2 JF inasikika na wakubwa na wanaiogopa sana