Kisheria,
Makampuni yanatakiwa kuuza mb moja kwa kati ya sh 2-9,
Vifurushi ni offer tu, wanaipanga watakavyo, hawabanwi na sheria yeyote, wakiamka kesho wakiamua waifute ni sawa, wakisema kesho kutwa kwa buku upate Mb 200 ni sawa mana wapo kisheria,
Mwendazake alizingua kutuletea hii sheria