Suari za Kike zinachora “V” , Je wanaume huwaza nini?

Suari za Kike zinachora “V” , Je wanaume huwaza nini?

Jaji Mfawidhi

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2016
Posts
17,434
Reaction score
27,177
Wanawake tunapovaa Suruali, hapa mbele hujichora alama ya “V”.

Je, wanaume huwaza kitu gani?
Iwapo sisi tukiona zipu zao za suruali ni ndefu tunapata mawazo na msisimko je wao wakiona mchoro wacha tu zile pajama huwaza nini?

Tuwaache na shida zao tusijali au turudi kuvaa sketi na undersketi kama zamani kabla ya mwaka 2000?
 
Unakuta imechora mstari arafu pameloa lol kitumbu kinaoneka vzuur kabisa
POINT
huwa siachi kuangalia mpaka aondoke kwenye upeo wa macho yangu
Kumbe tunawakosea sana, sasa ina maana hata hawa watoto wa vyuo tunao wavalia suruali huwa wanaangalia V-zetu na kuanza kuchora picha?
 
Weka picha mnato tuone.
IMG_2086.jpeg
 
Wanawake tunapovaa Suruali, hapa mbele hujichora alama ya “V”.

Je, wanaume huwaza nini?
Iwapo sisi tukiona zipu zao za suruali ni ndefu tunapata mawazo na msisimko je wao wakiona mchoro wacha tu zile pajama huwaza nini?

Tuwaache na shida zao tusijali au turudi kuvaa sketi na undersketi kama zamani kabla ya mwaka 2000?
View attachment 3619193
Am sorry to say this mimi wakati wote navutiwa mno na wanawake wakivaa hivi tena nategeka sana sana.
 
Back
Top Bottom