Sub za Tundu Lissu zinawatisha wapinzani wanataka wamalize game iishe sare

Sub za Tundu Lissu zinawatisha wapinzani wanataka wamalize game iishe sare

Olmo

JF-Expert Member
Joined
Jun 21, 2026
Posts
1,213
Reaction score
2,198
Unaambiwa jamaa kajilinda dk zote tisini akimeza mashambulizi ya timu pinzani . Kwenye dk za nyongeza tano kasimamisha sub hatari

1. Straiker: Samia!
2. Winga: Philipo
3. Midfielder: Majaliwa
4. Beki : Heche

Kudadeki watu wanaita refa amalize game ili watu hao wasipate namba zitapigwa pass mbili ya tatu straiker refu kuliko gori linajitushwi free header 🤣🤣🤣
 
Mimi napenda shahidi namba 1 aitwe aanze kuulizwa maswali ya dodoso.

Mh Lissu; Una Elimu gani?
shahidi: Elimu mbalimbali.
Mh Lissu: Ongeza sauti wewe shahidi.
Mh Lissu; Kidato cha nne ulipata division gani?
Shahidi; Division four ya D mbili.
Mh Lissu: Kwenye mikutano yako ya kampeni ulisema hakutakua na nywinywi wala nywinywinywi waeleze waheshimiwa majaji ulimaanisha nini?
 
Back
Top Bottom