King Nkondo
JF-Expert Member
- Jan 1, 2023
- 2,374
- 3,311
Mkapa alitoa ushahidi akiwa mstaafu na sio madarakani!!The only president wa nchi amewahi kanyaga mahakamani ni mkapa tu, wakati huo serikal zikiwa zinajielewa na mahakama ilikuwa na nguvu
Kwa sasa hawawezi kufanya hivyo
Lissu hana mitego yoyote ya kisheria ya kumtoa nishai samia au majaliwa, sana sana atakuwa anajikalanga kwa mafuta yake mwenyewe!!Hatukatai but hao mashahidi wataweza kucounter attack mitego ya kisheria ya Lissu? Watakuwa tayari kuaibishwa kizimbani?
Kumbukeni mahakama ni ya wazi na hakutakuwepo na chumba maalumu.
Kutoa ushahidi kwa Rais haihitaji uwe madarakani au umestaafu...Mkapa alitoa ushahidi akiwa mstaafu na sio madarakani!!
jizi na lipenda rushwa lina post bila aibuLissu ana kesi ya kujibu, kesho sio mbali.
Jizi na lipenda rushwa linaendelea kupost bila aibuLissu hana mitego yoyote ya kisheria ya kumtoa nishai samia au majaliwa, sana sana atakuwa anajikalanga kwa mafuta yake mwenyewe!!
Jizi na lipenda rushwa halichoki limo tu linaendelea kupostMkapa alitoa ushahidi akiwa mstaafu na sio madarakani!!
Haiishi hadi iishe!Unaambiwa jamaa kajilinda dk zote tisini akimeza mashambulizi ya timu pinzani . Kwenye dk za nyongeza tano kasimamisha sub hatari
1. Straiker: Samia!
2. Winga: Philipo
3. Midfielder: Majaliwa
4. Beki : Heche
Kudadeki watu wanaita refa amalize game ili watu hao wasipate namba zitapigwa pass mbili ya tatu straiker refu kuliko gori linajitushwi free header 🤣🤣🤣