Sub za Unai Emry hazijawahi kutuangusha

Sub za Unai Emry hazijawahi kutuangusha

Chukwu emeka

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2018
Posts
24,314
Reaction score
38,919
Moja kwa moja niende kwenye mada,leo ilikuwa London derby kati ya Arsenal na Spurs uwanja wa Emirates, arsenal walikuwa wa kwanza kabisa kupata goli dakika kumi mwanzo kwa tuta ila spurs wakaja na comeback ya hatari na kufanikiwa kupata magoli 2 ya haraka,hadi mapumziko spurs walikuwa wanaongoza 2-1.

Kipindi cha pili wakati kinaanza mtu ninayemuona man of the match Unai alifanya mabadiriko mapema kabisa akaingia Laccazette na Ramsey ambao walibadirisha kabisa tempo yamchezo huku spurs wakipumulia mashine,pass ya Ramsey kwa Auba ikaisawazishia arsenal,huku Laccazette akipa Gunners goli ta 3.Wakati spurs wanazubaa mchawi wa Uruguay Toreira akaipatia arsenal goli la 4 na kumharibia kabisa Potchetino game plan yake.

Kama shabiki wa arsenal navutiwa sana na kocha wangu cos anamaamuzi ya haraka sana ya sub na sub zake huwa zinaleta madhara kwa opponent,kama siyo kufunga goli basi ni pass ya goli, ninaimani huyu kocha anaweza kutufikisha mbali iwapo atapewa funga la usajili hasa katika eneo la backline.

Next Manchester United jiandaeni maana mna mchezaji mmoja tu ambaye anakuwa man of the game mara kadhaa De Gea,msije dhani mnacheza na Wenger huyu ni Unai Emry.

We're The Gunners
FB_IMG_1543767484119.jpg
 
Ukweli kocha huyu mpaka sasa katupa sauti ya kuongea! Mwishoni mwa enzi za Wenger unaenda kuangalia mechi Roho mkononi! Sitaki kukumbuka zama hizo za Wenger.
Saiz tuna amani, misimu miwili ijayo akisajili tutakuwa vizuri sana
 
ila ipo siku mtakutana na wanaume, ndio mtajilaumu sn
 
ngoja tuone na utd next week, wote wazee wa comeback
 
ila ipo siku mtakutana na wanaume, ndio mtajilaumu sn
Now tumeimarika kiasi ,mzunguko wa pili soon unakuja soon mechi ya city na Chelsea zitatupa mwanga na next game jtano ni United
 
Hongereni Arsenal kiukweli mashabiki lialia wa Arsenal mliteseka misimu iliyopita.
Niliwahi kutibuana na bro kisa matokeo yenu yeye ni Arsenal damu mimi United.
Saivi namkwepa sana hasa siku za weekend!.
 
ngoja tuone na utd next week, wote wazee wa comeback
United msijejisahau mkadhani ni Wenger;? Then United hainitishi maana Kila game MOT ni de gea,Lukaku Hata tukicheza pungufu kama yupo uwanjani nisawa na kwamba tupo sawa tu
 
Hongereni Arsenal kiukweli mashabiki lialia wa Arsenal mliteseka misimu iliyopita.
Niliwahi kutibuana na bro kisa matokeo yenu yeye ni Arsenal damu mimi United.
Saivi namkwepa sana hasa siku za weekend!.
Utamkwepa sana, kwa aibu na nyumbani kwake uame tu hamna namna!!
 
Huyu Unai sio tu SUB, hata bench anasugulisha majina! Haangalii jina! Yoyote anaweza anzia bench mf jana Laca kasubiria! Na sasa Cech anasugua!
 
Huyu Unai sio tu SUB, hata bench anasugulisha majina! Haangalii jina! Yoyote anaweza anzia bench mf jana Laca kasubiria! Na sasa Cech anasugua!
Laccazette alikuwa anatoka majeruhi,Czech tangu apate injury beno kaziba vzr sana Staki hata arudi langoni
 
Back
Top Bottom