Chukwu emeka
JF-Expert Member
- Jan 12, 2018
- 24,314
- 38,919
Moja kwa moja niende kwenye mada,leo ilikuwa London derby kati ya Arsenal na Spurs uwanja wa Emirates, arsenal walikuwa wa kwanza kabisa kupata goli dakika kumi mwanzo kwa tuta ila spurs wakaja na comeback ya hatari na kufanikiwa kupata magoli 2 ya haraka,hadi mapumziko spurs walikuwa wanaongoza 2-1.
Kipindi cha pili wakati kinaanza mtu ninayemuona man of the match Unai alifanya mabadiriko mapema kabisa akaingia Laccazette na Ramsey ambao walibadirisha kabisa tempo yamchezo huku spurs wakipumulia mashine,pass ya Ramsey kwa Auba ikaisawazishia arsenal,huku Laccazette akipa Gunners goli ta 3.Wakati spurs wanazubaa mchawi wa Uruguay Toreira akaipatia arsenal goli la 4 na kumharibia kabisa Potchetino game plan yake.
Kama shabiki wa arsenal navutiwa sana na kocha wangu cos anamaamuzi ya haraka sana ya sub na sub zake huwa zinaleta madhara kwa opponent,kama siyo kufunga goli basi ni pass ya goli, ninaimani huyu kocha anaweza kutufikisha mbali iwapo atapewa funga la usajili hasa katika eneo la backline.
Next Manchester United jiandaeni maana mna mchezaji mmoja tu ambaye anakuwa man of the game mara kadhaa De Gea,msije dhani mnacheza na Wenger huyu ni Unai Emry.
We're The Gunners