Ndinga imewasili since June, its almost more than a month now and sure I am very happy with the car
SUBARU STI FORESTER ya 2008/2009 ina Horse power ngapi?Mimi nimeitumia gari hio kwa miaka kama 3 hivi na haikunipa changamoto yoyote kubwa ila cha msingi ilikua ni kufuata tu masharti yake...
Nadhani 265 hp boss
Haha, eti kibuyu kinachokoroma.Vijana wa chuga wqnazipenda....eti za kuopolea watoto wazuri..??
Halafu vijana wengi wanaoendesha hizi..akili zao huwa haziwazi mipango ya maisha...
Akili inatekwa na kile kibuyu kinachokoroma pale nyuma[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Subaru na altezza kuna tofauti sana katika kuendesha.ipi inafurahisha kuendesha?Mimi nimeitumia gari hio kwa miaka kama 3 hivi na haikunipa changamoto yoyote kubwa ila cha msingi ilikua ni kufuata tu masharti yake.
1.Inakula engine oil sana so hapo uwe tayari ku-top up mara kwa mara na uwe njema kwny wese...
Subaru ipi ?Subaru na altezza kuna tofauti sana katika kuendesha.ipi inafurahisha kuendesha?
ImprezzaSubaru ipi ?
Unaposema Subaru ni sawa na useme Toyota maana Subaru zipo za Aina tofauti Ila kama ni foresta Vs alteza hiyo alteza ni ya kawaida Sana tena haiwezi kushindana Kwa lolote dhidi ya foresta..
Pia ukija Kwenye Subaru legacy Vs alteza bado legacy IPO juu zaidi ya alteza
Duuu hii mashine ni zaidi ya umeme hiyo alteza kuifananisha na hii gari ni kama mbingu na ardhi..
Impreza WRX STI zinapatikana mtaani?Duuu hii mashine ni zaidi ya umeme hiyo alteza kuifananisha na hii gari ni kama mbingu na ardhi..
Impreza WRX STI hiyo ni gari ya mashindano
Mtaani zipo chache Sana mpaka uende Kwa wahindi au waarabu ndiyo wamiliki wa haya MagariImpreza WRX STI zinapatikana mtaani?
hapa itabidi nichukue altezza tuMtaani zipo chache Sana mpaka uende Kwa wahindi au waarabu ndiyo wamiliki wa haya Magari
Mzee inategemeana forester au legacy iko powered by injini gani..? Ej20 au ej25..? Nahiyo altezza ni powered by 1gfe au 3sge au 2jzgte...Subaru ipi ?
Unaposema Subaru ni sawa na useme Toyota maana Subaru zipo za Aina tofauti Ila kama ni foresta Vs alteza hiyo alteza ni ya kawaida Sana tena haiwezi kushindana Kwa lolote dhidi ya foresta..
Pia ukija Kwenye Subaru legacy Vs alteza bado legacy IPO juu zaidi ya alteza
Mkuu, photos zipo?Niaje wadau, Ninauza Subaru legacy touring wagon TS type R,
Number DTE
Mileage 49k
Reason to sell: Ninahama Tanzania kikazi,
Note: is the one of the best car