Subaru Fans Special Thread

Subaru Fans Special Thread

Bongo ziko chache na shida wengi hawazijui vzur cost mostly bongo wanunuzi wa magari n kwa usafiri na show off wachache sanaa anaagiza au kununua gari na kujua undani ktk ubora na faults za gari husika but tuko buzy sanaa na maisha pia eboo🤣🤣🤣
Nimeangalia hata beforward ni chache sana pia mkuu.. sijui hadi siku napata hela zitakuwepo bado 😀😀😀
 
Ukipata mtu alieitunza bongo mbna fresh tu sema huwez kosa kitu kwa dunia ya sasa mchawi pesa tu waweza hata agiza special order 🤣🤣🤣
Gari za mikononi mwa watu noma sana huwa sizielewi kitu unaagiza mwenyewe kutoka nagoya pale 😀😀😀
Mfano hii chini ukiwa na 20 mill unaishusha chap hapa bongo
918EE64F-4528-4CBD-8DCB-0FB36E6AE3B0.png
 
Naona wewe unamsema yuleee!! wa majumba sita karibu na karakarata??/! yule bwana yaliyomkuta ni makubwa hata sijui alipoteleaga wapi..... hayupo bana siku hizi
Wala huyu n jamaa wa mikocheni mzee
 
Jamaa niliokwambia jana kashusha kidude kingine kinakula utaalamu ntakileta kikishakuwa mkao

View attachment 2000205
MKuu baba thamahani thana bana!! thatha hii mkuu ya mwaka gani vile? ujue umenikumbusha mbalisana mpaka uchozi unanitoka hii Nakumbuka vita ya pili ya Dunia Babu yangu wa pili alikuja nayo hii!! pamoja na pikipiki yenye propeller!! ..

Thatha!! mwanae ambaye ndiyo Babu yangu mzaa baba !! akawa ana tanulia sana viwanja!! kulee mitaa ya sirari/ kibumaye kila mtu alimjua yaani! kwa ubora wake!

Unajua alikufaje yule Muzee? nisikilize muzuri!
Gari pekee ilikuwa ya Babu yangu! mji mzima wa Tarime na viunga vyake!!! baadae sana mtu mwingine nae akanunua gari aina ya ma-Land rhuksa mapana ya zamani yale! yalikuwa yanawashwa kwa pin maalum km ya kunyanyulia jeck hvi!!! sasa jioni ya siku moja Babu anatokea Isbania bana! (Kenya huko yuko bwii) kufika Mitaa maarufu ya kilima mbogo paleee!!

Akamuona jamaa kapaki gari lake hilo katikati ya barabara! huku kapiga full Light! Babu kuona vile akajua hii dharau sasa! yaani pikipiki mbili zime pack!! usawa wake? bila shaka hawa wanapiga story! hawa? wameamua kunikoga tu!! eti wamenunua vipikipiki viwili!

wana taka kumkoga babu!! sasa Babu kuona vile kwa mbwembwe za Babu yangu akaamua kupita kati kati yao kwa speed ili wachanganyikiwe!!! kuwaonyesha kuwa yeye Pikipiki anaijua sana tokea Barma! kuliko mutu yeyote aliye wahi kuishi Tarime na hakuna km yeye ndo wa kwanza kuwa nayo !!!

akanambia babu nikajibu ''eee!'' kaa vizuri'' nkasema ''sawa babu weye piga moto tu''! eee!!! bana eee!!! kilicho tokea hapo Majibu unayo, nilibaki Mimi tu kuwaleteeni taarifa hizi!
 
Kijana anayeendesha ist na kijana anayeendesha Forester..ni watu wawili tofauti kimtazamo..

Wa subaru ana mitazamo ya starehe...wa ist utakuta ana mitazqmo ya maisha ya miaka hamsini ijayo..
Niamini mimi[emoji23][emoji23][emoji23]
tunanunua IST sababu akaunt hazisomi. Siyo kwamba tunazipenda.kigari kimekaa km bajaji.

Maisha,maendeleo ni mtazamo wa mtu binafsi havina uhusiano na mtu kutembelea IST au Subaru. Ni mawazo ya ajabu kabisa.
 
tunanunua IST sababu akaunt hazisomi. Siyo kwamba tunazipenda.kigari kimekaa km bajaji.

Maisha,maendeleo ni mtazamo wa mtu binafsi havina uhusiano na mtu kutembelea IST au Subaru. Ni mawazo ya ajabu kabisa.
Mkuu uko sahihi kabisa, mfuko wa mtu ndio unaoamua aina ya gari ya kununua.
 
Mkuu uko sahihi kabisa, mfuko wa mtu ndio unaoamua aina ya gari ya kununua.
Kabisa Mkuu pamoja na malengo ya kununua hiyo gari.

Ukiwa na familia na mtu wa safari ndefu SUV is the best car kama mfuko unaruhusu.
 
tunanunua IST sababu akaunt hazisomi. Siyo kwamba tunazipenda.kigari kimekaa km bajaji.

Maisha,maendeleo ni mtazamo wa mtu binafsi havina uhusiano na mtu kutembelea IST au Subaru. Ni mawazo ya ajabu kabisa.
Kuna mshkaji mtaani kwetu anayo Forester XT namba DXT akamtongoza demu wangu.

Demu wangu akamtolea nje, alivonisimulia nikamuuliza kwanini umemnyea jamaa... Demu akasema "mimi nimeridhika na Passo yako baby"
 
Huu uzi ulinifanya nikanunua subaru,mpaka wa leo napeta tu
 
Kuna mshkaji mtaani kwetu anayo Forester XT namba DXT akamtongoza demu wangu.

Demu wangu akamtolea nje, alivonisimulia nikamuuliza kwanini umenyea jamaa... Demu akasema "mimi nimeridhika na Passo yako baby"
Kwani alikuwa na kosa kumtongoza?
 
Back
Top Bottom