Jamaa niliokwambia jana kashusha kidude kingine kinakula utaalamu ntakileta kikishakuwa mkao
View attachment 2000205
MKuu baba thamahani thana bana!! thatha hii mkuu ya mwaka gani vile? ujue umenikumbusha mbalisana mpaka uchozi unanitoka hii Nakumbuka vita ya pili ya Dunia Babu yangu wa pili alikuja nayo hii!! pamoja na pikipiki yenye propeller!! ..
Thatha!! mwanae ambaye ndiyo Babu yangu mzaa baba !! akawa ana tanulia sana viwanja!! kulee mitaa ya sirari/ kibumaye kila mtu alimjua yaani! kwa ubora wake!
Unajua alikufaje yule Muzee? nisikilize muzuri!
Gari pekee ilikuwa ya Babu yangu! mji mzima wa Tarime na viunga vyake!!! baadae sana mtu mwingine nae akanunua gari aina ya ma-Land rhuksa mapana ya zamani yale! yalikuwa yanawashwa kwa pin maalum km ya kunyanyulia jeck hvi!!! sasa jioni ya siku moja Babu anatokea Isbania bana! (Kenya huko yuko bwii) kufika Mitaa maarufu ya kilima mbogo paleee!!
Akamuona jamaa kapaki gari lake hilo katikati ya barabara! huku kapiga full Light! Babu kuona vile akajua hii dharau sasa! yaani pikipiki mbili zime pack!! usawa wake? bila shaka hawa wanapiga story! hawa? wameamua kunikoga tu!! eti wamenunua vipikipiki viwili!
wana taka kumkoga babu!! sasa Babu kuona vile kwa mbwembwe za Babu yangu akaamua kupita kati kati yao kwa speed ili wachanganyikiwe!!! kuwaonyesha kuwa yeye Pikipiki anaijua sana tokea Barma! kuliko mutu yeyote aliye wahi kuishi Tarime na hakuna km yeye ndo wa kwanza kuwa nayo !!!
akanambia babu nikajibu ''eee!'' kaa vizuri'' nkasema ''sawa babu weye piga moto tu''! eee!!! bana eee!!! kilicho tokea hapo Majibu unayo, nilibaki Mimi tu kuwaleteeni taarifa hizi!