Top gun maverick
JF-Expert Member
- Dec 10, 2017
- 2,080
- 2,871
Hivi oil original ya subaru ipoje ya laki na ishirini wakuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Oil zipo nyingi Sana wewe unahitaji oil ya kampuni gani?Hivi oil original ya subaru ipoje ya laki na ishirini wakuu
Itakuwa anaizungumzia LIQUI MOLY hiyo kitu inacheza 115k hadi kuna sehemu wanauza 140k na ni OIL nzuri sana kwa hizi gari za kisasa,toka nimefanya service gari yangu imekuwa nyepesi sana iko vizuri achukue hiyo kitu.Oil zipo nyingi Sana wewe unahitaji oil ya kampuni gani?
Pengine hiyo oil ya laki na ishirini sehemu nyingine inauzwa Kwa 90,000
Liqui moly nitaweka mkuu ila tatizo sijajua bado Aina gani inafaa zaidi.....maana CASTROL EDGE ina bei ya juu sanaa nahisi ndiyo oil yenye bei kubwa Sana, ila kwenye smooth ya engine hizi oil za bei ya juu ni tamu sanaItakuwa anaizungumzia LIQUI MOLY hiyo kitu inacheza 115k hadi kuna sehemu wanauza 140k na ni OIL nzuri sana kwa hizi gari za kisasa,toka nimefanya service gari yangu imekuwa nyepesi sana iko vizuri achukue hiyo kitu.
Liqui moly nitaweka mkuu ila tatizo sijajua bado Aina gani inafaa zaidi.....maana CASTROL EDGE ina bei ya juu sanaa nahisi ndiyo oil yenye bei kubwa Sana, ila kwenye smooth ya engine hizi oil za bei ya juu ni tamu sana
Shukran Sana chief nimesave na picha kabisaaView attachment 3226122
Naamini hii MOLYGEN ya 5W-30 itakuwa poa kwako.