Subaru Fans Special Thread

Subaru Fans Special Thread

Oil zipo nyingi Sana wewe unahitaji oil ya kampuni gani?
Pengine hiyo oil ya laki na ishirini sehemu nyingine inauzwa Kwa 90,000
Itakuwa anaizungumzia LIQUI MOLY hiyo kitu inacheza 115k hadi kuna sehemu wanauza 140k na ni OIL nzuri sana kwa hizi gari za kisasa,toka nimefanya service gari yangu imekuwa nyepesi sana iko vizuri achukue hiyo kitu.
 
Liqui moly nitaweka mkuu ila tatizo sijajua bado Aina gani inafaa zaidi.....maana CASTROL EDGE ina bei ya juu sanaa nahisi ndiyo oil yenye bei kubwa Sana, ila kwenye smooth ya engine hizi oil za bei ya juu ni tamu sana
 
IMG_2160.jpeg

Naamini hii MOLYGEN ya 5W-30 itakuwa poa kwako.
 
Back
Top Bottom