Subaru Foresta 2.5, 2017

Subaru Foresta 2.5, 2017

Isanga family

JF-Expert Member
Joined
Feb 25, 2015
Posts
17,080
Reaction score
33,076
Hii Subaru ya South Africa ipo vizuri kwa muonekano Mbio kwa wakimbiaji na balance ipo pia..hapo naona inauzwa 32,000,000 Tsh bado kaizari na gharama za kusafirisha mpaka Tunduma...
20230208_153249.jpg
20230208_153246.jpg
20230208_153217.jpg
20230208_153210.jpg
 
Hii Subaru ya 2012...
 
Attachments

  • 20230213_144856.jpg
    20230213_144856.jpg
    747.4 KB · Views: 51
  • 20230213_144914.jpg
    20230213_144914.jpg
    717.5 KB · Views: 50
  • 20230213_144903.jpg
    20230213_144903.jpg
    613.8 KB · Views: 39
  • 20230213_144840.jpg
    20230213_144840.jpg
    685.8 KB · Views: 42
Nawezaje kuitofautisha na ya Japan.
Muonekano, Stability, Performance, na Durability
Subaru ni ya Japan hizi Nchi zingine zinapewa haki ya kutengeneza na kuuza ila ziwe kwenye ubora ule ule kama Ford ni USA ila SA nao wanatengeneza na kuuza ila wanapewa vigezo vya ubora wao kwa hiyo sidhani kama kutakua na tofauti kwenye Perfomance au Durability maana hata muonekano kwa model moja zikiwa pamoja huwezi kutofautisha hata uzito zinakuwa sawa...
 
Bei yake ngapi? Kodi je? Gharama za kuisafirisha Hadi Tunduma je?
Pana mdau wa JF kapata Subaru nzuri sana jana kodi ya 2012 ipo juu kidogo kuliko ya 2007 au 2008 na 2009...cheki mtandao wa TRA kuhusu kodi gari zinauzwa rand 70,000 kushuka chini mpaka rand 50,000 kwa za mwaka 2006 au 2007 karatasi ni kama rand 5000 mafuta mpaka tunduma huwa tunatenga usd 1000 pamoja na kulipia document kila border unayoingia na kutoka...gari nyingi unazikuta haubadili kitu zaidi ya mafuta na kuondoka wauzaji wanafanya vyote kabla ya kuliingiza sokoni wiki iliyopita mdau mwingine alipata disco 4 ....
 
Alipata kwa tsh. Ngapi hiyo subaru?
 
Back
Top Bottom