Isanga family
JF-Expert Member
- Feb 25, 2015
- 17,080
- 33,076
Hii Subaru ya South Africa ipo vizuri kwa muonekano Mbio kwa wakimbiaji na balance ipo pia..hapo naona inauzwa 32,000,000 Tsh bado kaizari na gharama za kusafirisha mpaka Tunduma...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii fuel.economy ipo vipHii Subaru ya South Africa ipo vizuri kwa muonekano Mbio kwa wakimbiaji na balance ipo pia..hapo naona inauzwa 32,000,000 Tsh bado kaizari na gharama za kusafirisha mpaka Tunduma...
Ni 2.5 ipo kawaida tuu...Hii fuel.economy ipo vip
Itakuwa imeshaingia kwenye calculator yao ili kuujua ushuru kabla ya kuiagiza....au ndo tutaujulia palepale TundumaHii Subaru ya South Africa ipo vizuri kwa muonekano Mbio kwa wakimbiaji na balance ipo pia..hapo naona inauzwa 32,000,000 Tsh bado kaizari na gharama za kusafirisha mpaka Tunduma...
Watu washabadilika mkuu wanatumia gari yeyote iwe ya Japan, SA au za UK anaangalia mfuko unasemaje...Acha tuendelee kutumia used Tu za Japan
Nawezaje kuitofautisha na ya Japan.Hii Subaru ya South Africa ipo vizuri kwa muonekano Mbio kwa wakimbiaji na balance ipo pia..hapo naona inauzwa 32,000,000 Tsh bado kaizari na gharama za kusafirisha mpaka Tunduma...
View attachment 2510693View attachment 2510694View attachment 2510696View attachment 2510697
Subaru ni ya Japan hizi Nchi zingine zinapewa haki ya kutengeneza na kuuza ila ziwe kwenye ubora ule ule kama Ford ni USA ila SA nao wanatengeneza na kuuza ila wanapewa vigezo vya ubora wao kwa hiyo sidhani kama kutakua na tofauti kwenye Perfomance au Durability maana hata muonekano kwa model moja zikiwa pamoja huwezi kutofautisha hata uzito zinakuwa sawa...Nawezaje kuitofautisha na ya Japan.
Muonekano, Stability, Performance, na Durability
Bei yake ngapi? Kodi je? Gharama za kuisafirisha Hadi Tunduma je?Hii Subaru ya 2012...
Pana mdau wa JF kapata Subaru nzuri sana jana kodi ya 2012 ipo juu kidogo kuliko ya 2007 au 2008 na 2009...cheki mtandao wa TRA kuhusu kodi gari zinauzwa rand 70,000 kushuka chini mpaka rand 50,000 kwa za mwaka 2006 au 2007 karatasi ni kama rand 5000 mafuta mpaka tunduma huwa tunatenga usd 1000 pamoja na kulipia document kila border unayoingia na kutoka...gari nyingi unazikuta haubadili kitu zaidi ya mafuta na kuondoka wauzaji wanafanya vyote kabla ya kuliingiza sokoni wiki iliyopita mdau mwingine alipata disco 4 ....Bei yake ngapi? Kodi je? Gharama za kuisafirisha Hadi Tunduma je?
Alipata kwa tsh. Ngapi hiyo subaru?Pana mdau wa JF kapata Subaru nzuri sana jana kodi ya 2012 ipo juu kidogo kuliko ya 2007 au 2008 na 2009...cheki mtandao wa TRA kuhusu kodi gari zinauzwa rand 70,000 kushuka chini mpaka rand 50,000 kwa za mwaka 2006 au 2007 karatasi ni kama rand 5000 mafuta mpaka tunduma huwa tunatenga usd 1000 pamoja na kulipia document kila border unayoingia na kutoka...gari nyingi unazikuta haubadili kitu zaidi ya mafuta na kuondoka wauzaji wanafanya vyote kabla ya kuliingiza sokoni wiki iliyopita mdau mwingine alipata disco 4 ....
Nimeandika kwa rand zidisha hizo gharama kwa Tsh 140 ndio rate iliyopo hiyo 70,000 ni kama 9,450,000 kwa kichwa sijui kama nipo sahihi...Alipata kwa tsh. Ngapi hiyo subaru?
🤣🤣Shida yote ya nn? Subaru used uinunue Kwa 50m TZS?
Angalia na mwaka wake wa kutengenezwa, hio ni ya 2017. We kama unataka za 23m endelea kupambana na za mwaka 2011 kushuka chiniShida yote ya nn? Subaru used uinunue Kwa 50m TZS?