Subaru foresta 2005 vs harrier 1999

Uzi mtamu sana, I'd love VW Polo, Insha Allah yaweza kuwa next car. BIGURUBE unaweza kuielezea, unaonekana mzoefu wa VW.
 
Me impreza sijawahi kuzipenda..ugonjwa wangu ni foresta na legacy..both with turbo.. Nikionaga ambazo hazina kipua naona ni toyota tu..
Mkuu dah mie utaniua kwa impreza hatchback release 2007 3rd generation
Napenda nyuma inavofanana na harrier Lexus.

Alafu huyu ndugu anaependa sana VW na anasifia speed nakumbusha hata Subaru ni zilizotengenezwa kwa soko la Japan tu ndio zina limitation ya 180km/hr

Ila forester, Legacy na Impreza nje ya Japan zina speed mpk ya 280km/hr

Kingine uwezi linganisha Vokswagen na Subaru hata VW iwe na speed ya 360km/hr Alafu Subaru ibaki na 180 speed ila tu iwe na Turubo WRX utaona Moto.

Nakupa Challenge moja tu hii, kwanini unadhani Rally (mashindano ya magari) Subaru nyingi zinaingia ila sio VW?

Ushawai kujiuliza hukusu mfumo wa box engene za subaru ambazo nyingi zinaenda kwa AWD/4WD, VW ya kutembelea speed ulaya huko, Subaru Njia zote its for sport

Kwaio ukipenda gari pesa tu lakini kabla hujajua upande wa pili tulia tulii, kasema Subaru ni za vijana wahuni kelele nyingi doh hivi kila Subaru ina Muffler?

SUBARU IS THE BEST KWA SPEED japo sikati kuwa VW pia ni bora. Kwanza muonekano wa hv VW mie siupendi ati!
 


Ebu pitieni link kadhaa YouTube huko muone Head to Head ya Subaru na Vokswagen...

Niweka hizi link mbili kuona AWD ya Subaru na VW zinapojaribiwa na engeneers... Ukifika kwenye hizo ukamaliza anza kuangalia na chanel nyingine battle hata ya power kati ya forester na VW touran nk nk

Subaru Rough Road[emoji818]
Kwenye Ice [emoji818]
Rami [emoji818]

VW kimbilia kwenye Rami tu huko ukikutana na Tope la maana AWD yake utamuita Subaru kwa msaada
 
kweli apa natoka tongotongo kwa sehem naanza kua na uelewa kwenye magari ninayo yapenda
 
Baada ya kutumia klugger kwa muda gari yangu ijayo itakuwa Land rover discovery 4
Sijaona watu wakisema hapa lakini ile ni dream car yangu kabisaaa
 
ila ki-Tiguan kiko cute cute....kinafaa sana wasio madereva wazoefu
 
Umenikumbushaa Golf yangu ...ila kwenye speed haya majamaa kibokoo tatizo kubwa ambalo limenitesa ni mafundi wake kuwa adimu ...
 
Baada ya kutumia klugger kwa muda gari yangu ijayo itakuwa Land rover discovery 4
Sijaona watu wakisema hapa lakini ile ni dream car yangu kabisaaa
Hopefully umejiandaa ipasavyo kwny maintainance cost ex. air suspension etc
 
As Asante kwa uchambuzi muruwa
 
Nilifika siku moja 160 na kibiriti changu nikaogopa sana pamoja na kwamba sikuona shida kwenye gari
ndege gani!! ?? hiyo gari uliofikisha nayo 270 ni ipi specs zake cc nk
 
Speed 300 kwa barabara ipi hapa bongo
 
Mzee angalia vitu necessary.ila kwa mm chukua Io harrier Kama unafamilia Ila Kama huna chukua Subaru
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…