mng'ato
JF-Expert Member
- Oct 27, 2014
- 29,200
- 49,076
Golf hata iwe GTI siitamani kabisaa gari ina sura mbaya kishenzi yaani kishenzi,bora subaru sti wrx mara elfu aisee.Kuna mjinga mmoja nipo safarini naenda mbeya yupo na crown tena km mpya maana Niliona number ni t...DL..., tumefika Iyovi akataka kushindana na mm Niko na Volkswagen golf....
Sikumtangulia nilimuacha amalize speed zote.....hata km 20 hakufika akasikia engine inapiga kelele..ikawa Ndio mwisho wa gari yake...
Na Hapo mm naenda nae mm nimefika 190 wakati uwezo wa gari yangu ni 300km/h
Toyota ni uchafu, Hakuna gari mle