good to hear that. mimi nilikosea nikauza gari niliyoanza nayo maisha, mpaka leo bado naikumbuka. sijui kama bado ipo kwani ni miaka mingi sana imepita. nimebadili magari mengi na sikumbuki idadi, lakini sijawahi kuwa na furaha nazo. gari ya kwanza ni kama mke wa kwanza, huwa kuna miujiza ndani yake..Thanks for advice mkuu..ilisumbua starter kit sensor,nikatoa laki 4,ikaua battery nikanunua original laki sita nimewasha juzi baada kukaa ndani week naona inamwaga petrol kutoka kwenye tank nikazima nikaachana nayo..najua ni inshu ndogo ila bado kuna inshu ingine inaleta mis sana ikiwa ata low speed ya town movements..ila ipo clean sio ya ovyo..ipo njema sana yani..
Sitauza maana wanunuzi wenyewe sikuiz hamna usawa mbovu tofauti na hapo ntaingia hasara tu..uzuri gari mbadala wake ipo..