Subaru foresta 2005 vs harrier 1999

Subaru foresta 2005 vs harrier 1999

Boss hii kuagiza Bei yq juu sana ni 15m, ila ukitaka ya kununua kwa mtu Hiyo cjui kweli,

Km unataka ningekushauri uagize Japan.

Ila ukifika nayo usisahau kuileta tuipime kwanza barabarani[emoji1] maana tuna chama chetu huwa tunazipima kila weekend, ikibomolewa unaagiza nyingine.

Kumiliki hizi gari raha sana, tofauti na hii mbolea zingine mnaita Toyota!
Mkuu tutake radhi bana..[emoji35]
 
Kuna mjinga mmoja nipo safarini naenda mbeya yupo na crown tena km mpya maana Niliona number ni t...DL..., tumefika Iyovi akataka kushindana na mm Niko na Volkswagen golf....

Sikumtangulia nilimuacha amalize speed zote.....hata km 20 hakufika akasikia engine inapiga kelele..ikawa Ndio mwisho wa gari yake...

Na Hapo mm naenda nae mm nimefika 190 wakati uwezo wa gari yangu ni 300km/h
Toyota ni uchafu, Hakuna gari mle
Ila mkuu mbona kama unatupiga changa! Mana nimecheki kwenye mtandao 270 km/h ni golf gt.
Zingine zipo chini kidogo unaweza nitajia aina yako nimi nika iperuzi. Labda naweza kuvutika one day yes.
 
Mkuu tutake radhi bana..[emoji35]
Mkuu km Ww unamiliki Toyota usijihesabie una gari, Hapo una usafiri tu wa kukutoa point A kukupeleka point B!

Miliki gari za kiume, hata ukitembea nayo barabarani mtu asiejua kabisa gari anajua kweli hii ni machine.

Matoyota sisi tunaita mbolea tu hizo
 
Hahaha mkuu mbona yangu ni speed 300km/h na nipo Salama, the highest speed Nimewahi kuendesha ni 270km/h ingawa Nina mpango nimalize zote 300 siku moja.

300 ni speed ya ndege wakati Wa ku-take off!
270km/hr, njia bado unaiona vizuri tu?
 
Ila mkuu mbona kama unatupiga changa! Mana nimecheki kwenye mtandao 270 km/h ni golf gt.
Zingine zipo chini kidogo unaweza nitajia aina yako nimi nika iperuzi. Labda naweza kuvutika one day yes.
Angalia Volkswagen Golf GTI, model kuanzia 2005+ then uniambie ni speed ngapi

Hii ni Volkswagen Golf GTI model ya 2006, speed 300km/h
7e5c10e1beb523fe786b135a491d7969.jpg

e000db7e5278eb427254fe484e5759d3.jpg

72b91826a6eb916a0cc731e16cf3bda9.jpg

aa4834cc4e34dc3a004d4dbe73c19d1f.jpg

Hii Ndio gari mwanaume Unatakiwa kuendesha, sio kuendesha mbolea speed inaishia 180 Utafikiri bodaboda[emoji274]
 
We jamaa ni unazichukia Toyota balaaa
Hahaha mkuu niliwahi kumiliki Toyota nyingi zinafika hata 5, mojawapo nilianza na Toyota Mark 2, nikaja Toyota Vista, nikaja Brevis, nikanunua Verossa na nyingine Ilikuwa ya biashara.

Ila Baada ya kuonja Volkswagen na Audi, hizi naziona sijui takataka gani.

Nishaunguza engine nyingi za watu huko barabarani waliojaribu kushindana na mm, maana napenda sana racing![emoji41]
 
I can see it in your posts, u hate them with passion [emoji3] [emoji3] [emoji3]. Mie niko kwenye msako wa Vw au audi inayoweza himili barabara za bongo pia iwe below 2000 cc
 
Dah mkuu kutoka Mercedes Benz kurudi hadi Toyota ni Sawa na kutoka kuwa mkuu wa mkoa hadi kuwa mwenyekiti wa kijiji, Umepotea aisee!

Gari yangu ni Volkswagen golf GTI
Haha..uko sahihi mkuu. Nimerudi toyota but American Car. nina sequoia 2012 and still running smooth. Ila nina mpango
wa kutafuta hiki chombo'-
2017_volkswagen_gti-pic-7210515454497144025-1024x768.jpeg
2017_volkswagen_gti-pic-4216210897521886305-1024x768.jpeg
2017_volkswagen_gti-pic-2840456052885763889-1024x768.jpeg
2017_volkswagen_gti-pic-7149734179209521655-1024x768.jpeg
 
Hahaha mkuu, I Don't hate them, ila sizikubali tu kwa sababu sio durable na pia hazikimbii,

Tafuta Audi hata A3 hutajutia, tena nakupa siri moja ila usimwambie mtu, Audi na Vw kodi yake Iko chini sana, jaribu kuingia kwny TRA calculator utaona.
 
Hahaha mkuu niliwahi kumiliki Toyota nyingi zinafika hata 5, mojawapo nilianza na Toyota Mark 2, nikaja Toyota Vista, nikaja Brevis, nikanunua Verossa na nyingine Ilikuwa ya biashara.

Ila Baada ya kuonja Volkswagen na Audi, hizi naziona sijui takataka gani.

Nishaunguza engine nyingi za watu huko barabarani waliojaribu kushindana na mm, maana napenda sana racing![emoji41]
Namimi nikifiksha tano na hama Toyota[emoji2][emoji2][emoji2]
 
Dah mkuu kutoka Mercedes Benz kurudi hadi Toyota ni Sawa na kutoka kuwa mkuu wa mkoa hadi kuwa mwenyekiti wa kijiji, Umepotea aisee!

Gari yangu ni Volkswagen golf GTI
Mercedes yangu bado ipo ingawa nili-donate kwa mtu muhimu in my life. my childhood guardian. so huwa nikija rikizo, naingalia with emotions. kumbuka niliinunua kwa one of the diplomat in south Afrika. ni bullet proof, ingawa sijawahi kumwambia kama ni bullet proof kuondoa usumbufu wa hapa na pale.
 
Hongera sana mkuu, don't regret to donate it to the important person like him, hope you'll get another one!

Naziheshimu sana Mercedes Benz ingawa sijawahi kumiliki!
 
Haha..uko sahihi mkuu. Nimerudi toyota but American Car. nina sequoia 2012 and still running smooth. Ila nina mpango
wa kutafuta hiki chombo'-
2017_volkswagen_gti-pic-7210515454497144025-1024x768.jpeg
2017_volkswagen_gti-pic-4216210897521886305-1024x768.jpeg
2017_volkswagen_gti-pic-2840456052885763889-1024x768.jpeg
2017_volkswagen_gti-pic-7149734179209521655-1024x768.jpeg
Dah bahati mbaya kila nikijaribu kufungua picha hizi zinagoma!

In short mm magari Ndio hobby yangu kubwa, ni km wengine wanavopenda pombe, mpira, movies nk.

Napenda sana mashindano ya magari na huwa nashiriki ingawa sijaweza kushiriki Yale makubwa
 
Back
Top Bottom