Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dah hizo gari si mchezoZipo mkuu toyota![]()
Unaziitaje hizi mkuu?
Mshkaji kasema toyota hawana gari ni viusafiri ndo naamka kwa mshtukoDah hizo gari si mchezo
Afadhalini 2005 mkuu nlikosea heading
Usafiri huo mkuu!Zipo mkuu toyota![]()
Unaziitaje hizi mkuu?
Mkuu ilikuwa Volkswagen wapi ? Ist tu
kama hii dukani unaipta kwa tsh ngap na mtumbani unaipta kwa tsh ngap?Mkuu I've no experience na gari za Japan, mm natumia Germany brand, Volkswagen au Audi. Ungeomba ushauri wa hizi ningekupa mzuri sana.
Ila nakushauri pia angalia Volkswagen Touran, ni gari Nzuri sana na popote inaingia,
Achana na hizo gari common
![]()
Hii hapa
![]()
Gari Nzuri kubwa, boot ya kutosha, speed 260km/h
![]()
Boss hii kuagiza Bei yq juu sana ni 15m, ila ukitaka ya kununua kwa mtu Hiyo cjui kweli,kama hii dukani unaipta kwa tsh ngap na mtumbani unaipta kwa tsh ngap?
Kuna mjinga mmoja nipo safarini naenda mbeya yupo na crown tena km mpya maana Niliona number ni t...DL..., tumefika Iyovi akataka kushindana na mm Niko na Volkswagen golf....na hapo ndo mwisho wa IST hata ungekanyaga vipi isingeweza kufika 180... unless ufanye ECU remap..
most of toyota's ambazo ni chini ya 1.8 ltr engine na iwe cylindr 4 hazimalizi sahani
hadi ufanye mappin
Jini la dubaiZipo mkuu toyota![]()
Unaziitaje hizi mkuu?
daah hio speed ni hatari mkuu!!Kuna mjinga mmoja nipo safarini naenda mbeya yupo na crown tena km mpya maana Niliona number ni t...DL..., tumefika Iyovi akataka kushindana na mm Niko na Volkswagen golf....
Sikumtangulia nilimuacha amalize speed zote.....hata km 20 hakufika akasikia engine inapiga kelele..ikawa Ndio mwisho wa gari yake...
Na Hapo mm naenda nae mm nimefika 190 wakati uwezo wa gari yangu ni 300km/h
Toyota ni uchafu, Hakuna gari mle
Kutembea speed kubwa ni utashi wa dereva tuR. I.P. in advance kama atanunua gari ya hii speed
Haha..mkuu, gari yako ni aina gani? nilikuwa na benz special order jamaa aliniuzia ilikuwa na 320km/h, though nimerudi TOYOTA nowadays.Hahaha mkuu mbona yangu ni speed 300km/h na nipo Salama, the highest speed Nimewahi kuendesha ni 270km/h ingawa Nina mpango nimalize zote 300 siku moja.
300 ni speed ya ndege wakati Wa ku-take off!
Dah mkuu kutoka Mercedes Benz kurudi hadi Toyota ni Sawa na kutoka kuwa mkuu wa mkoa hadi kuwa mwenyekiti wa kijiji, Umepotea aisee!Haha..mkuu, gari yako ni aina gani? nilikuwa na benz special order jamaa aliniuzia ilikuwa na 320km/h, though nimerudi TOYOTA nowadays.