Subaru foresta 2005 vs harrier 1999

Subaru foresta 2005 vs harrier 1999

Zipo mkuu toyota
2a547f5b3fbe9789981e6210a964b514.jpg

Unaziitaje hizi mkuu?
Dah hizo gari si mchezo
 
Mkuu ilikuwa Volkswagen wapi ? Ist tu

na hapo ndo mwisho wa IST hata ungekanyaga vipi isingeweza kufika 180... unless ufanye ECU remap..

most of toyota's ambazo ni chini ya 1.8 ltr engine na iwe cylindr 4 hazimalizi sahani
hadi ufanye mappin
 
Mkuu I've no experience na gari za Japan, mm natumia Germany brand, Volkswagen au Audi. Ungeomba ushauri wa hizi ningekupa mzuri sana.

Ila nakushauri pia angalia Volkswagen Touran, ni gari Nzuri sana na popote inaingia,

Achana na hizo gari common

ce733043c3f14cbbb4f763eef093d9ba.jpg

Hii hapa
2d398a30dbdb1ffb1e76d041be0d5fa6.jpg

Gari Nzuri kubwa, boot ya kutosha, speed 260km/h
b323a683a06497114b5b08fb107ab3eb.jpg
kama hii dukani unaipta kwa tsh ngap na mtumbani unaipta kwa tsh ngap?
 
kama hii dukani unaipta kwa tsh ngap na mtumbani unaipta kwa tsh ngap?
Boss hii kuagiza Bei yq juu sana ni 15m, ila ukitaka ya kununua kwa mtu Hiyo cjui kweli,

Km unataka ningekushauri uagize Japan.

Ila ukifika nayo usisahau kuileta tuipime kwanza barabarani[emoji1] maana tuna chama chetu huwa tunazipima kila weekend, ikibomolewa unaagiza nyingine.

Kumiliki hizi gari raha sana, tofauti na hii mbolea zingine mnaita Toyota!
 
na hapo ndo mwisho wa IST hata ungekanyaga vipi isingeweza kufika 180... unless ufanye ECU remap..

most of toyota's ambazo ni chini ya 1.8 ltr engine na iwe cylindr 4 hazimalizi sahani
hadi ufanye mappin
Kuna mjinga mmoja nipo safarini naenda mbeya yupo na crown tena km mpya maana Niliona number ni t...DL..., tumefika Iyovi akataka kushindana na mm Niko na Volkswagen golf....

Sikumtangulia nilimuacha amalize speed zote.....hata km 20 hakufika akasikia engine inapiga kelele..ikawa Ndio mwisho wa gari yake...

Na Hapo mm naenda nae mm nimefika 190 wakati uwezo wa gari yangu ni 300km/h
Toyota ni uchafu, Hakuna gari mle
 
Subaru confidence in motion endesha gari yenye nguvu na speed ndani ya sekunde 40 umemaliza sahani usie deshe magari ya mkaa
 
Kuna mjinga mmoja nipo safarini naenda mbeya yupo na crown tena km mpya maana Niliona number ni t...DL..., tumefika Iyovi akataka kushindana na mm Niko na Volkswagen golf....

Sikumtangulia nilimuacha amalize speed zote.....hata km 20 hakufika akasikia engine inapiga kelele..ikawa Ndio mwisho wa gari yake...

Na Hapo mm naenda nae mm nimefika 190 wakati uwezo wa gari yangu ni 300km/h
Toyota ni uchafu, Hakuna gari mle
daah hio speed ni hatari mkuu!!
 
Hahaha mkuu mbona yangu ni speed 300km/h na nipo Salama, the highest speed Nimewahi kuendesha ni 270km/h ingawa Nina mpango nimalize zote 300 siku moja.

300 ni speed ya ndege wakati Wa ku-take off!
Haha..mkuu, gari yako ni aina gani? nilikuwa na benz special order jamaa aliniuzia ilikuwa na 320km/h, though nimerudi TOYOTA nowadays.
 
Back
Top Bottom