Subaru foresta 2005 vs harrier 1999

Golf hata iwe GTI siitamani kabisaa gari ina sura mbaya kishenzi yaani kishenzi,bora subaru sti wrx mara elfu aisee.
 
Hahaha mkuu mbona yangu ni speed 300km/h na nipo Salama, the highest speed Nimewahi kuendesha ni 270km/h ingawa Nina mpango nimalize zote 300 siku moja.

300 ni speed ya ndege wakati Wa ku-take off!
Nimetumia corola,niahamia kwenye poa. Kama umenimaliza gari zote nilizokuwa nataka,umenizimisha. Sasa uhitaji wangu ilikuwa Rav 4 old model au Harier new lakini four cylinder. Sasa kwa ushauri wako katika hizo gari zingine,iliyo juu like Harier ni ipi nichukue?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…