Subaru Forester (2008-2023) unyama sana

Huwa inasemwa Sana humu, ukifikiria Sana utumiaji wa mafuta kwenye gari...basi Jua wakati wako WA kumiliki gari bado.

Binafsi siamini kama ni kweli.

Hii kitu Subaru, si rafiki kwenye matumizi ya mafuta...Wana hawasemi tu
 
Bei yake ikoje sokoni?
Huwa inasemwa Sana humu, ukifikiria Sana utumiaji wa mafuta kwenye gari...basi Jua wakati wako WA kumiliki gari bado.

Binafsi siamini kama ni kweli.

Hii kitu Subaru, si rafiki nzuri Sana kwenye matumizi ya mafuta...Wana hawasemi tu
Kama uchumi bado haujasimama vzuri ..itakua ngumu kulihudumia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…