Subaru Forester Eyesight 2013

Subaru Forester Eyesight 2013

screpa

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2015
Posts
10,857
Reaction score
15,866
Unayelifahamu hili gari unalizungumziaje ukilinganisha na gari kama Toyota Vanguard 2013? Maana naona kama bei zinaendana, na ina muonekano wa kuvutia, na je lina tofauti kubwa na Forester nyingine kama 2012 kushuka chini?
 
Subaru forester 2008 - 2012 imekuwa namba moja hapa Tanzania Kwa kupendwa nahisi baada ya miaka kadhaa mbele watanzania 60% wataachana na Toyota kabisaa!!!

Subaru forester eyesight inakuja kufuta uwepo wa vanguard na rav 4 new model.
Hizi gari zimekaa poa mno kuanzia fuel consumption, interior design, facelift na performance.
Haya ndiyo magari ya kijanja sio kilasiku Toyota tu
 
Uko sahihi
 
Tofauti na Subaru nyingine za nyuma ipo kubwa, in terms of design, size, usalama,
 
Subaru forester 2008 - 2012 imekuwa namba moja hapa Tanzania Kwa kupendwa nahisi baada ya miaka kadhaa mbele watanzania 60% wataachana na Toyota kabisaa!!!

Subaru forester eyesight inakuja kufuta uwepo wa vanguard na rav 4 new model.
Hizi gari zimekaa poa mno kuanzia fuel consumption, interior design, facelift na performance.
Haya ndiyo magari ya kijanja sio kilasiku Toyota tu
Hicho kitu sahau, Subaru, Nissan, M. Outlander n.k hawawezi kushindana na Toyota sokoni mkuu amini nikuambiacho.

Hushangai Harrier tako la nyani ya 2004 inashindana subaru frst ya mwaka 2013?
 
Subaru Forester 2013 pia inashindana na Toyota Vanguard 2013. Lakini pia umesahau Harrier ya 2004 inashindana na Vanguard ya mwaka 2013
 
Kimsingi toyota ndio mbabe wa kampuni zote za japani za magari madogo hasa kwenye soko la Afrika, hivyo tusijidanganye kuwa siku moja subaru itakuwa gari pendwa kuliko toyota. Labda toyota wasimame kuzalisha magari kwa muda.
 
Hicho kitu sahau, Subaru, Nissan, M. Outlander n.k hawawezi kushindana na Toyota sokoni mkuu amini nikuambiacho.

Hushangai Harrier tako la nyani ya 2004 inashindana subaru frst ya mwaka 2013?
Mashidano yako kwenye kodi tuu, CIF Harrier ya 2004 iko chini ya Forester 2013
 
Kimsingi toyota ndio mbabe wa kampuni zote za japani za magari madogo hasa kwenye soko la Afrika, hivyo tusijidanganye kuwa siku moja subaru itakuwa gari pendwa kuliko toyota. Labda toyota wasimame kuzalisha magari kwa muda.
Subaru na Toyota Ni Kampuni moja so usichoshe Hilo komwe kuipinga Subaru
 
Unayelifahamu hili gari unalizungumziaje ukilinganisha na gari kama Toyota Vanguard 2013? Maana naona kama bei zinaendana, na ina muonekano wa kuvutia, na je lina tofauti kubwa na Forester nyingine kama 2012 kushuka chini?
Subaru S/20 1999 ndio gari.Engine inavuta vilivyo,clearance chini ni nzuri unazila kona kama Benz.
 
Back
Top Bottom