Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uko sahihiSubaru forester 2008 - 2012 imekuwa namba moja hapa Tanzania Kwa kupendwa nahisi baada ya miaka kadhaa mbele watanzania 60% wataachana na Toyota kabisaa!!!
Subaru forester eyesight inakuja kufuta uwepo wa vanguard na rav 4 new model.
Hizi gari zimekaa poa mno kuanzia fuel consumption, interior design, facelift na performance.
Haya ndiyo magari ya kijanja sio kilasiku Toyota tu
Unayelifahamu hili gari unalizungumziaje ukilinganisha na gari kama Toyota Vanguard 2013? Maana naona kama bei zinaendana, na ina muonekano wa kuvutia, na je lina tofauti kubwa na Forester nyingine kama 2012 kushuka chini?
Hicho kitu sahau, Subaru, Nissan, M. Outlander n.k hawawezi kushindana na Toyota sokoni mkuu amini nikuambiacho.Subaru forester 2008 - 2012 imekuwa namba moja hapa Tanzania Kwa kupendwa nahisi baada ya miaka kadhaa mbele watanzania 60% wataachana na Toyota kabisaa!!!
Subaru forester eyesight inakuja kufuta uwepo wa vanguard na rav 4 new model.
Hizi gari zimekaa poa mno kuanzia fuel consumption, interior design, facelift na performance.
Haya ndiyo magari ya kijanja sio kilasiku Toyota tu
Subaru Forester 2013 pia inashindana na Toyota Vanguard 2013. Lakini pia umesahau Harrier ya 2004 inashindana na Vanguard ya mwaka 2013Hicho kitu sahau, Subaru, Nissan, M. Outlander n.k hawawezi kushindana na Toyota sokoni mkuu amini nikuambiacho.
Hushangai Harrier tako la nyani ya 2004 inashindana subaru frst ya mwaka 2013?
Kimsingi toyota ndio mbabe wa kampuni zote za japani za magari madogo hasa kwenye soko la Afrika, hivyo tusijidanganye kuwa siku moja subaru itakuwa gari pendwa kuliko toyota. Labda toyota wasimame kuzalisha magari kwa muda.Subaru Forester 2013 pia inashindana na Toyota Vanguard 2013. Lakini pia umesahau Harrier ya 2004 inashindana na Vanguard ya mwaka 2013
Mashidano yako kwenye kodi tuu, CIF Harrier ya 2004 iko chini ya Forester 2013Hicho kitu sahau, Subaru, Nissan, M. Outlander n.k hawawezi kushindana na Toyota sokoni mkuu amini nikuambiacho.
Hushangai Harrier tako la nyani ya 2004 inashindana subaru frst ya mwaka 2013?
Subaru na Toyota Ni Kampuni moja so usichoshe Hilo komwe kuipinga SubaruKimsingi toyota ndio mbabe wa kampuni zote za japani za magari madogo hasa kwenye soko la Afrika, hivyo tusijidanganye kuwa siku moja subaru itakuwa gari pendwa kuliko toyota. Labda toyota wasimame kuzalisha magari kwa muda.
Subaru S/20 1999 ndio gari.Engine inavuta vilivyo,clearance chini ni nzuri unazila kona kama Benz.Unayelifahamu hili gari unalizungumziaje ukilinganisha na gari kama Toyota Vanguard 2013? Maana naona kama bei zinaendana, na ina muonekano wa kuvutia, na je lina tofauti kubwa na Forester nyingine kama 2012 kushuka chini?
Ni mashine
Huna ulijualo kalmakengeSubaru na Toyota Ni Kampuni moja so usichoshe Hilo komwe kuipinga Subaru
Hujielew wewe